realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Wakuu Habari zenu?
Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.
Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.
Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano
Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa mawazo.
Lakini pia mtu anaweza kuishia pabaya endapo utaamua kulipa kisasi.
Tusamehe mambo yaendelee.