Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

Wakuu Habari zenu?

Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.

Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.

Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano

Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa mawazo.

Lakini pia mtu anaweza kuishia pabaya endapo utaamua kulipa kisasi.

Tusamehe mambo yaendelee.

Ishu sio kusamehe.
Ishu ni njia gani utatumia kusamehe.
Wengi mmekuwa mkiongea "samehe" ila hamfahamu kuelekeza njia za mtu kuondoa uchungu moyoni mwake.
 
Kitu cha kwanza ni kutokulichukulia kosa lake kwa ukubwa huo.
Je unajua anayependwa sana ndo anayeumiza mtu sana? Mtu kama huyo anaweza chukulia kwa ukubwa akiumizwa kihisia maana hakutarajia.

Usipochukulia kwa ukubwa ina maana unaididimiza hisia zako kitu ambacho si kizuri kwa afya yako ya akili. Ni heri hasira ziwake, chuki ikushike ili sasa utafute njia za kujitibu. Ili ujitibu inabidi kwanza ujijue kuwa we ni mgonjwa.
 
Mm huwa natulia tu yani nakuwa mpole ila ukweli ni kwamba huwa naanda bomu yani lazima na mm nkupge na ktu kzto sikubali kufanywa mjinga.

Kuna manzi nlianza nae mahusiano muda kdg baadae nlkuja kujua kuwa anae mtu mwngne nkamuulza akakiri na kuomba msamaha nkawa mbishi ila baadae nkasema Okay nmekusamehe tuendelee.

Hadi sasa tupo kwenye mipango ya kuoana na kwao nmeshaenda na nkamwambia namuoa ila ukweli ni kwamba siwezi kuoa msalit nliemjua mm, nmeshapata manzi mwngne na tunapendana na ndio nitafunga nae ndoa huyo mpuuz atakuja kuona tu STATUS wasap afu ndio imeisha hvo.
 
Wakuu Habari zenu?

Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.

Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.

Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano

Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa mawazo.

Lakini pia mtu anaweza kuishia pabaya endapo utaamua kulipa kisasi.

Tusamehe mambo yaendelee.
Kusamehe kuna kuja na muda. Husamehi hapo fast ukasahau. So take time eventualy pain will go away, but hiyo mtu hutomchukulia the samw
Wakuu Habari zenu?

Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.

Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.

Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano

Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa mawazo.

Lakini pia mtu anaweza kuishia pabaya endapo utaamua kulipa kisasi.

Tusamehe mambo yaendelee.
kulipa kisasi ni kama kunywa sumu halaf huyo mtu afe, utaumia wewe. Let it go and karma will serve
 
Uko sahihi kabisa. Lkn Amani na utulivu wa akili unaupata baada ya kuona aliyekuumiza kapatwa na baya zaidi. Ukihisi hawezi kupata ndo Unaamua kuisaka hiyo amani na utulivu kwa kumsababishia hilo baya.
Wewe nadhani una mawazo kama yangu,. Wanadam wa sikuizi washenzi sana
 
Je unajua anayependwa sana ndo anayeumiza mtu sana? Mtu kama huyo anaweza chukulia kwa ukubwa akiumizwa kihisia maana hakutarajia.

Usipochukulia kwa ukubwa ina maana unaididimiza hisia zako kitu ambacho si kizuri kwa afya yako ya akili. Ni heri hasira ziwake, chuki ikushike ili sasa utafute njia za kujitibu.
Unaweza kujikuta kwenye matatizo
Hebu kuwa serous kidogo ndugu. Yani usichukulie kosa la mtu aliyekukosea kwa ukubwa? Labda kama siishi duniani
Ukitoka hapo nenda kafanye vitu unavyovipenda na sahau kuhusu kukosewa.
 
Back
Top Bottom