Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

😂😂😂Nilitegemea utanijibu duniani 🤣🤣Any way bwana halipizi kisasi yupo yupo tu kama haoni vile ndio anatusababisha tunachukua hatua wenyewe
😹😹😹 Nilikusoma akili yako muda, nikajua lazima utaniletea u kiranga wako hapa.!!
 
FB_IMG_1718497443719.jpg
 
Kusamehe siyo rahisi hivyo,nilipokuwa mdogo nilikuwa nadhani kusamehe ni rahisi sana,labda ni Kwa sababu sikuwa ninayafaham maumivu ni kitu gani,Sasa hivi nimeyajuwa maumivu ni nini,na sitamani mtu apitie maumivu hayo maana unaweza kuchukuwa uamuzi usio wa kawaida na ukaishia gerezani,lakini hata hivyo hakuna ambaye yupo duniani atahepa maumivu, ni lazima upitie katika maumivu ili ujifunze bila hivyo maisha hayana maana,Cha msingi kukubaliana na Hali na moyo wa msamaha hapo hapo ndio njia Bora zaidi.
 
Maana utalipa kisasi kwa watu wangapi sasa?
 
Mleta mada alianza kunishawishi nimsamehe yule kiumbe,, ila wewe tena umenkumbusha jambo😎🤏🏾
Watu washenzi sana sikuizi,. Mimi saizi sitaki kabisa mahubiri ya mtu kuhusu msamaha,. Yaani hapa bado tu sijapata mganga wakueleweka nimroge mtu na kizazi chake chote manina😏,..

Mtu anakutapeli mara mbili mfulilizo huyo ni wa kumuacha kweli eti??🤔
 
Ila Kuna mengine sio ya kusamehe kabisa, especially mwanamke mchepukaji
 
Watu washenzi sana sikuizi,. Mimi saizi sitaki kabisa mahubiri ya mtu kuhusu msamaha,. Yaani hapa bado tu sijapata mganga wakueleweka nimroge mtu na kizazi chake chote manina😏,..

Mtu anakutapeli mara mbili mfulilizo huyo ni wa kumuacha kweli eti??🤔
😂😂😂Basi jaman aaah,,hua wanasema kosa ni kurudia kosa,,huyo tumshughulikie tu kwakwel
 
Back
Top Bottom