David Mtiba
Member
- Apr 4, 2016
- 12
- 9
“Kisasi ni haki na wajibu wangu” ✍️Kisasi ni haki na wajibu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Kisasi ni haki na wajibu wangu” ✍️Kisasi ni haki na wajibu wangu
Huyo kiumbe hapaswi kusamehewa. Kumbuka kulipa kisasi ni haki yako kikatibaMleta mada alianza kunishawishi nimsamehe yule kiumbe,, ila wewe tena umenkumbusha jambo😎🤏🏾
KabisaNikikosewa vitu ninavyopenda kufanya ni kulipa kisasi
Tena kikatiba 😂Kisasi ni haki na wajibu wangu
Deal done 😌Huyo kiumbe hapaswi kusamehewa. Kumbuka kulipa kisasi ni haki yako kikatiba
Mdogo wangu, umewahi kumuua nani? 😂Kuna makosa ya kusamehe, na kuna makosa ya kumburuza mtu, kumuua nk.
Hawezi!Nyie ambao mmewahi kusamehe mnawezaje,?
Nani aliwafundisha kusamehe mpaka mkaweza kuondoa kinyongo cha kukosewa?
Hivi mwanaume anaweza akamsamehe mwanamke wake msaliti na akasahau kabisa akaishi kwa amani?
Mnawezaje !!
nikipata sababu naua😅Mdogo wangu, umewahi kumuua nani? 😂
Mbakaji wa watoto anasamehewa vipi Sasa ?Ishu sio kusamehe.
Ishu ni njia gani utatumia kusamehe.
Wengi mmekuwa mkiongea "samehe" ila hamfahamu kuelekeza njia za mtu kuondoa uchungu moyoni mwake.
Kibongo bongo kusamehe wanaleta mazoea na unaonekana boyaa....KISASI MUHIMU JINO KWA JINO NA UPANGA KWA UPANGAAmini kwenye NGUVU YA MSAMAHA utakuwa na amani ila yy deeply atateseka.!!
Jilazimishe kuachilia trust me utaona amani utakayokuwa nayo.!!
Nimekucheck tayari njoo pm
Safi sanaKuna makosa ya kusamehe, na kuna makosa ya kumburuza mtu, kumuua nk.
Huna baya kama upo Dom nipe kadi ya Harusi nichangieMm huwa natulia tu yani nakuwa mpole ila ukweli ni kwamba huwa naanda bomu yani lazima na mm nkupge na ktu kzto sikubali kufanywa mjinga.
Kuna manzi nlianza nae mahusiano muda kdg baadae nlkuja kujua kuwa anae mtu mwngne nkamuulza akakiri na kuomba msamaha nkawa mbishi ila baadae nkasema Okay nmekusamehe tuendelee.
Hadi sasa tupo kwenye mipango ya kuoana na kwao nmeshaenda na nkamwambia namuoa ila ukweli ni kwamba siwezi kuoa msalit nliemjua mm, nmeshapata manzi mwngne na tunapendana na ndio nitafunga nae ndoa huyo mpuuz atakuja kuona tu STATUS wasap afu ndio imeisha hvo.
Npo Merriwa hii mkuu muda ukfka habari mtapata tuu.Huna baya kama upo Dom nipe kadi ya Harusi nichangie
Kwahiyo umegoma ushauri ninaokupa dada ako?? 😹😹Kibongo bongo kusamehe wanaleta mazoea na unaonekana boyaa....KISASI MUHIMU JINO KWA JINO NA UPANGA KWA UPANGA
Anasamehewa kwa kutolipa kisasi wala kuwa na chuki kwake. Mtendee wema, atashtuka na itakuwa kidonda maisha yake yote.Mbakaji wa watoto anasamehewa vipi Sasa ?