Kisasi ni haki na wajibu wanguWakuu Habari zenu?
Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.
Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.
Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano
Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa mawazo.
Lakini pia mtu anaweza kuishia pabaya endapo utaamua kulipa kisasi.
Tusamehe mambo yaendelee.
Jirani samehe halafu kila nikiona comment yako ndo nakumbuka ile issue.!!Sometimes kusamehe samehe mda mwingine tunaonekana wapuuzi,.. saizi wacha tuende tu hivihivi Jino kwa jino😏😏
Sawa mkuuWakuu Habari zenu?
Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.
Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.
Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano
Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa mawazo.
Lakini pia mtu anaweza kuishia pabaya endapo utaamua kulipa kisasi.
Tusamehe mambo yaendelee.
Jirani kujisamehe mwenyewe ndio muhimu,. Hawa vidampa wengine ukiwasamehe samehe sana wanakuona kama huna cha kuwafanya😬😬Jirani samehe halafu kila nikiona comment yako ndo nakumbuka ile issue.!!
Emu ngoja nikucheck pm
😂😂Kisasi ni haki na wajibu wangu
Ushawahi muona Bwana analipiza kisasi?Kisasi ni cha Bwana.
Jifundishe kujisamehe mwenyewe kwanza.!!
Amini kwenye NGUVU YA MSAMAHA utakuwa na amani ila yy deeply atateseka.!!Jirani kujisamehe mwenyewe ndio muhimu,. Hawa vidampa wengine ukiwasamehe samehe sana wanakuona kama huna cha kuwafanya😬😬
For real uje unipe muongozo buana,. I really need it🥹☺️