Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nilitegemea utanijibu duniani ๐Ÿคฃ๐ŸคฃAny way bwana halipizi kisasi yupo yupo tu kama haoni vile ndio anatusababisha tunachukua hatua wenyewe
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nilikusoma akili yako muda, nikajua lazima utaniletea u kiranga wako hapa.!!
 
Ila nikilipiza namuachia maumivu zaidi ili siku nyingine asije nizoea hovyo ,,ujue ukiwa unatoa msamaha sana unaonekana kama nyumbu kichaaa
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kusamehe siyo rahisi hivyo,nilipokuwa mdogo nilikuwa nadhani kusamehe ni rahisi sana,labda ni Kwa sababu sikuwa ninayafaham maumivu ni kitu gani,Sasa hivi nimeyajuwa maumivu ni nini,na sitamani mtu apitie maumivu hayo maana unaweza kuchukuwa uamuzi usio wa kawaida na ukaishia gerezani,lakini hata hivyo hakuna ambaye yupo duniani atahepa maumivu, ni lazima upitie katika maumivu ili ujifunze bila hivyo maisha hayana maana,Cha msingi kukubaliana na Hali na moyo wa msamaha hapo hapo ndio njia Bora zaidi.
 
Maana utalipa kisasi kwa watu wangapi sasa?
 
Sometimes kusamehe samehe mda mwingine tunaonekana wapuuzi,.. saizi wacha tuende tu hivihivi Jino kwa jino๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mleta mada alianza kunishawishi nimsamehe yule kiumbe,, ila wewe tena umenkumbusha jambo๐Ÿ˜Ž๐Ÿค๐Ÿพ
 
Mleta mada alianza kunishawishi nimsamehe yule kiumbe,, ila wewe tena umenkumbusha jambo๐Ÿ˜Ž๐Ÿค๐Ÿพ
Watu washenzi sana sikuizi,. Mimi saizi sitaki kabisa mahubiri ya mtu kuhusu msamaha,. Yaani hapa bado tu sijapata mganga wakueleweka nimroge mtu na kizazi chake chote manina๐Ÿ˜,..

Mtu anakutapeli mara mbili mfulilizo huyo ni wa kumuacha kweli eti??๐Ÿค”
 
Ila Kuna mengine sio ya kusamehe kabisa, especially mwanamke mchepukaji
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Basi jaman aaah,,hua wanasema kosa ni kurudia kosa,,huyo tumshughulikie tu kwakwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ