Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

Mleta mada alianza kunishawishi nimsamehe yule kiumbe,, ila wewe tena umenkumbusha jambo😎🤏🏾
Huyo kiumbe hapaswi kusamehewa. Kumbuka kulipa kisasi ni haki yako kikatiba
 
Nyie ambao mmewahi kusamehe mnawezaje,?
Nani aliwafundisha kusamehe mpaka mkaweza kuondoa kinyongo cha kukosewa?
Hivi mwanaume anaweza akamsamehe mwanamke wake msaliti na akasahau kabisa akaishi kwa amani?
Mnawezaje !!
 
Amini kwenye NGUVU YA MSAMAHA utakuwa na amani ila yy deeply atateseka.!!
Jilazimishe kuachilia trust me utaona amani utakayokuwa nayo.!!

Nimekucheck tayari njoo pm
Kibongo bongo kusamehe wanaleta mazoea na unaonekana boyaa....KISASI MUHIMU JINO KWA JINO NA UPANGA KWA UPANGA
 
Huna baya kama upo Dom nipe kadi ya Harusi nichangie
 
Samehe ushushe pumzi ili upate energy ya kufanya mengine
 
Mbakaji wa watoto anasamehewa vipi Sasa ?
Anasamehewa kwa kutolipa kisasi wala kuwa na chuki kwake. Mtendee wema, atashtuka na itakuwa kidonda maisha yake yote.
Hakuna kitu kinaumiza kama umtendee mtu mwema mabaya akalipa mema bila chuki, huwa inaathiri saikolojia kabisa. Wengine huishia kujiua kwa ile hatia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…