Hasara za kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Hasara za kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Uongo, cute wife anafanya kila siku lakini yote hayo anayo

Tunafanyaga wote? Wewe si ulisema hawala yako wa jf kasema hapendi unitaje, hivyo kakushauri uache! Vipi umeshindwa kuvumilia?
 
Kwamba ufanye mapenzi hata kama hauna mtu sahihi? Wacha pazibe tu.

Sawa itakavyo kuwa iwe hivyo staki tena kuchosha moyo wangu wacha iwe ivo tu wacha nifate njia itakayo nipa furaha haijalishi itachelewa kiasi gani.

Oh kichwa kuuma?? Pamoja nakunywa maji chupa 3 kwa siku kichwa kwa mbali kinauma.

Anyway hata hivo Mungu asante kwa uzima.

'ADWAM'
 
images (2).jpeg
 
Pole
 
Namba moja naunga mkono hoja, mengine sijui
 
Mbona kunawatu makini sana wamepita katika hii Dunia na kufanya maajabu ya kisayansi na taarifa zao zina sema mapenzi kwao sio ishu hawakuwa wanapoteza umakini katika kazi?

Aisee mpungaze zinaa kizazi kibaya na Cha zinaa.
Like sir Isaac Newton
 
Back
Top Bottom