Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

Ni kisema niliishi na fulani mwaka hata kama sina ushahidi wa mtu huyo basi inakuwa ukweli?
Josephus aliishi Yerusalemu na kuandika historia inayoaminika na wanahusika wengi duniani, aliandika kuhusu kifo cha Yesu , kuanguka kwa Yerusalemu chini ya Titus mtoto wa Vespasian mwaka wa 70.

Kama wazungu na uwezo wao mkubwa wa kiakili wanamuamini Josephus na wamefanya uchunguzi mwingine wa kihistoria wakaona Yesu alikuwepo kweli na aliuwawa kipindi cha Pontius Pilato akiwa Gavana wa Yerusalemu akimwakilisha Kaisari wa Rumi, wewe ni nani kubisha? Yaani mi nimuamini mtu mweusi ambaye hajawahi fanya tafiti yoyote.

Pia Tacitus Mrumi , aliandika habari zake Yesu na kifo chake.
 
Bado unanijazia watu wakufikirika tu.

Huo utafiti uliofanywa na hao wazungu wako kuhusu yesu ni upi?
 
Siwezi kupoteza muda zaidi. Kutafuta kuhusu vitu vya kufikirika.

Ndugeze yesu wapo wapi?
Na Mimi siwezi poteza muda kujibu maswali ya kipuuzi, maswali yanayoweza leta mjadala usioisha maana kama upande mmoja umegoma kufanya uchunguzi, upande mwingine ikitaka ishinde argument itakuwa upande wa kipumbavu.

I reject your offer.
 
Sex inapunguza uwezo wa kufikiri,watu wote wenye akili sex ilikuwa sio kipaumbele na walikufa bila wake wala watoto.
Hivi wanawake wasivyo na akili hivyo wakianza kukuvuruga utaanzaje kufikiri?
Swala ni Usizidishe wala usiache kabisa
Utamu wa kale kanyama Onjaa hata kidogo inasaidia bana Isifikie πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20230826_153150.jpg
    77.8 KB · Views: 5
Hii sio kweli kabisa, kuna watu wengi tu hukaa miezi bila sex tena bila shida yoyote
Jaribu kwenda ukalime mpunga huko uone kama utaikumbuka hiyo sex
Tatizo la baadhi ya vijana ni kushinda kutwa kucha kuwazia sex wanafikiri hayo ndio maisha....
 
Hii sio kweli kabisa, mimi hukaa miezi bila sex tena bila shida yoyote
Jaribu kwenda ukalime mpunga huko uone kama utaikumbuka hiyo sex
Tatizo la baadhi ya vijana ni kushinda kutwa kucha kuwazia sex wanafikiri hayo ndio maisha....
Mpareeeee
Upo health fit kweli? πŸ€”
Miezi na huoni shida , Eeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…