Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

Hii sio kweli kabisa, kuna watu wengi tu hukaa miezi bila sex tena bila shida yoyote
Jaribu kwenda ukalime mpunga huko uone kama utaikumbuka hiyo sex
Tatizo la baadhi ya vijana ni kushinda kutwa kucha kuwazia sex wanafikiri hayo ndio maisha....
Kuna msemo unasema "starehe ya masikini Ni ngono" Tajiri mda mwingi Yuko bize as businessman.
 
Wanafanya sana ndiyo maana akili zinawapelekea kuuza bandari ili wastarehe vizuri

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ukweli , ila kwa wale ambao wameshaanza, sasa mke na Mme muwe mnatazana kama mapazia ya ya ukumbi wa disko unazani ndani kutakuwa na amani kweli? Kama sio kupamiana kama usiku wa giza nene

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787] Kuna kaukweli flani ndio, tuzingatie protective sex tu! Weekend ndio ishafika
Sema tu ukweli, kila siku unahahirisha baadaye bby, mara kesho leo nimechoka sana, mara leo mafua, yaani leo mawazo ada za watoto wa dada si unajua Baba yao hajielewi hivi kichwa hakipo sawa tufanye kesho wewe ni mke wangu nipo kila siku, niambie humo ndani mnakuwaje !

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Yesu hakuwahi kusex, mtume Paul pia hakuwahi kusex, Yohana mbatizaji, bila kumsahau nabii Eliya, na wengineo wengi tu na hawakuwa na hizo hali ulizo orothesha.

Unapata wapi ujasiri wa kuleta huo uongo hapa?
Mmm kwa mtume Paul nina shaka sana maana kabla yakupewa kabali na YESU alikuwa hatari sana, japo mwishoni alisema kama unaweza kuwa kama mimi, kama hutaki hayo jikane, lakini kama upo humu humu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hii sio kweli kabisa, kuna watu wengi tu hukaa miezi bila sex tena bila shida yoyote
Jaribu kwenda ukalime mpunga huko uone kama utaikumbuka hiyo sex
Tatizo la baadhi ya vijana ni kushinda kutwa kucha kuwazia sex wanafikiri hayo ndio maisha....
Nazani huyu anasemea ambao wapo pamoja au ndoa halafu wanapishana kama vile wapo kwenye train sogea tukae a.k kajamba nani.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ukweli hapo .
Sex Iko overrated sana.

Mbona Yesu kaishi 33 years bila sex na hakuwa na hasira za hovyo, Wala kuchekacheka na uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa kushinda wa MAFARISAYO wasomi.
Daah braza unataka kujifananisha na mitume aisee watu wameshushwa kuikomboa Dunia harafu unatolea mifano yao daah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ