Hasara za kuwa baba wa kambo

Ndio hapo sasa simp muamke na mjue mmezidiwa akili na wanawake. Mwanamke kabla ya kuingia kwenye mahusiano tayari ashapiga calculation zake na kujua atanufaika vipi na wewe, hii kitu inabidi na wanaume tujifunze pia. Fikiria uyo mwanamke analeta valueable output ipi kwenye maisha yako.
Mkuu wewe ni mdau wa 50/50??
Siamini katika 50/50. Naamini ili familia na jamii kwa ujumla iwe na ustawi mzuri lazima kuwe na man superiority
 
Hakuna huruma wala busara hapo, simp ni watumwa wa kumer. Haiingii akilini kudhamini lifestyle ya mwanamke wakati wazazi wako wana shida chungumzima.
 
NIKIJIBU HI HOJA NAWEZA KULA BAN YA MILELE..WACHA NITULIE!
 
Hakuna huruma wala busara hapo, simp ni watumwa wa kumer. Haiingii akilini kudhamini lifestyle ya mwanamke wakati wazazi wako wana shida chungumzima.
Akili za namna hii huwa mnazitoa wapi?? Mbona mmekazania wazazi wana shida, sijui ndgu wana shida?

Ndivyo familia zenu zilivyo? Mna shida kiasi hicho??

Kabla hata ya kua na mpenzi pambana ukomboe familia yako mkuu, hilo la wazazi kua na hali duni umelishikia bango sana. Binafsi familia yangu haina shida.
 
Man superiority ni pamoja na kusolve mambo madogo kama hayo kwenye familia yako.
Mkuu wewe ni muoga sana, na kusema sijui unamlea huyo mtoto ili huyo Ke akupe K ni ujinga kabisa, au wewe ni kijana wa miaka 20 upo kwenye balehe??

Mwanamke ana mengi ya kuoffer kwako ukijua kucheza na akili yake kujua anafit wapi na asaidie kwa jambo lipi, mpaka unafikia hatua ya kumuoa/kua na mahusiano nae serious basi ushajua anafaa kwa kipi labda uwe simp kweli.
 
Man superiority ni pamoja na kusolve mambo madogo kama hayo kwenye familia yako.
Hicho ndicho ninachokiongelea, solve mambo kwenye familia yako sio familia ya mwanaume mwingine. Mtoto wa single maza uyo ni member wa familia nyingine sio familia yako
Mkuu wewe ni muoga sana, na kusema sijui unamlea huyo mtoto ili huyo Ke akupe K ni ujinga kabisa, au wewe ni kijana wa miaka 20 upo kwenye balehe??
Kuna tofauti kati ya uoga na busara
Mwanamke ana mengi ya kuoffer kwako ukijua kucheza na akili yake kujua anafit wapi na asaidie kwa jambo lipi, mpaka unafikia hatua ya kumuoa/kua na mahusiano nae serious basi ushajua anafaa kwa kipi labda uwe simp kweli.
Moja ya value anayotakiwa kuja nayo ni heshima yake mwenyewe ambayo inakua determined na past yake. Kitendo cha mwanamke kuwa single maza tayari amesha-disqualified kwenye kigezo cha maadili. Kuweka uyo ndani lazima ukubaliane na dhihaka za walimwengu ambazo moja kwa moja zinashuha heshima yako. Alpha males tutahoji kwanini usianzishe familia yako mpaka ukaamua kwenda kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine?
 
Mzee kwa hapo hatutoweza kuelewana nadhani kila mmoja ana mtazamo tofauti kuhusu hao single maza, na labda pia tuna expirience tofauti na hilo suala kiasi kwamba kila mmoja anaona yuko sahihi kwa kila anachokiamini.

Binafsi sioni udhaifu kua na familia na singo maza, as long as mmeelewana wala haina shida kabisa. Na pia kua na mtoto sio na mtu fulani sio kua na familia. Maana ya familia inapotea kama hamna uhusiano kati yenu, hata kisheria haiko namna hiyo.

Labda wewe unachoona ni kwamba mwanamke na mwanae watanufaika kwa utoaji wako, na wewe usinufaike na chochote toka kwao sio??.
 
Wasikutoe kwenye reli mkuu, kua na pisi yenhe mtoto sio kosa kabisa.

Kama wewe ni simp utakua hivyo daima na kama ni alpha male utakua hivyo haijalishi uko na singo maza au uko na kitoto kibichi cha buku mbili.
 
Single Maza ni cha wote
 
Ni kweli kuoa single mother ni tatizo ila kuna wengine yamewakuta na hawakuwa na namna bali kuwa single mother.

Sasa ukisema wasiolewe itakuwa ni kuwaonea tu.
 
Maisha yanaendaje mzee
Dah mkuu, thanks for being concerned. Maisha nimeyaweka "pause" kwanza am living the moment. Nitarud baadae kwa mrejesho ila kwasasa i am re-inventing my lost self and soul.
Nashukuru sana hii idea niliopata ya kupiga nondo kwasasa, yan mpaka najiuliza ilikuaje sikujua hii kitu mapema!.😂. Life is good so far chief. Nakula , nafanya kazi kidogo, na attend shamba kidogo, na meet new people , napiga zoezi na kulala sana.
NI mwendo huu mpaka end of July then i will bounce back to serious life then. Hata humu ndio maana nimekua adimu kidogo
 
Vizuri sana mzee tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…