Hasara za kuwa baba wa kambo

Kama Unazo Akili Utagundua Elimu Inajaribu Kupambana Na Nature Na Ndio Maana Unaliona Anguko La Mtoto Wa Kike.

Automatically Mtoto Wa Kike Ni Kama Tunda likishaiva Ni Lazima Liliwe Na lisipoliwa Litaoza.
Leo Hii Walimwengu Wanatuaminisha Kwamba Mtoto Wa Kike Kufundishwa Elimu Kuhusu Ngono Sio tatizo Kushiriki Ngono Wakiwa Mashuleni Sio Shida Na Hadi Elimu Ya Uzazi wa Mpango Wanapewa Ili Kujikinga Na Mimba.
Shida Kwao Wao Ni Pale Binti Huyo Kuolewa Na Ataitwa Mtoto Ila Wanasahau Wameshamfundisha Jinsi Ya Kungonoka Wameshamfunza Jinsi ya Kuepuka Mimba Ila Kwenye Ndoa Ghafla Anageuka Mtoto.
Hichi Kitu Ndo Kiwanda Cha Masingle Mama.
Ajenda Ya Kualibu Kizazi Hiki Imejificha Kwenye Kichaka Cha Elimu
Tutafakari Kwa Pamoja.
 
mkuu ana chafua vipi hadhi ya mwanaume akati kila mtu ana mwili na heshima yake?

azizi k ni mtu mzima aliye fanya maamuzi kwa akili na utashi wake, hizi mambo za kakosea sisi hazi tuhusu as long as ana uhuru wa kuchagua na kuamua yupi ni bora kwake.
Ccm Oyeeeee.
 
Ndo Leo Najua Kumbe Ni Wale Wa Kunyonyesha.
Hii ID ilikaa Kibabe Kama kweli!
 
Umesema kutoa msaada wa ada umenikumbusha kuna mzee wetu mmoja aliamua kumlipia stranger ada ya chuo mpaka akamaliza.

Kijana walikutana tu mtaani katika kuongea akamwambia anapambana kutafuta ada, mzee akaguswa akamwambia kuanzia sasa hivi ada ntakulipia mimi. Kijana kamaliza mwaka jana nadhani.
 

Umenisoma.vzr sana mkuu..

Jana kuna binti nilikuwa naongea naye, ana 21 yrs, ameshamaliza diploma, yuko tu nyumbani. Amelelewa kimayaimayai, ajira hataki kuapply, lipolipo tu. Imagine jitu zima la miaka 21 limemaliza chuo ila kufuata vyeti lilisindikizwa na mama yake.

Sasa tukawa tunaongea mambo ya mahusiano, nikamuambia ukipata kijana anataka kuoa, basi olewa, muda ndo huu. Eti kananijbu muda bado, ngoja kwanza nifikishe miaka 25 hivi, ili nami nijipange angalau hata niwe nimesimama nina cha kwangu.

So, unaona kabisa mabinti wameshaharibiwa mentality, wanachojua wao kuolewa na miaka 20,21,22,23 ni mapema sana, wakati ndiyo muda sahihi wa binti kuzaa watoto wenye afya..

Wanashindwa kujua kwamba wao kwa sasa wana miaka 20 huku mama zao wakiwa na miaka 40+, ina maana mama zao waliolewa na mapema na miaka 19 na kuendelea.
 
Hakika
 
Siyo wanawake Wote Mkuu!
Kubwa ni hiyo no.4 tu! Kwamba USIOE kabisa mwanamke ambaye baba mtoto wake yupo!
Kama ni MJANE sawa!
Hayo mengine hayana athari sana kama na yanarekebishika kama ulikubali kumuoa akiwa na mtoto ili mradi umpenda mtoto.
Nimeshuhudia ndoa nyingi za watu wa jinsi hiyo wakiishi vizuri kabisa tena kwa amani.
 
Bora huyo anajua kuwa ana msaidia kama msamalia kulikoni kuwajibishwa kulipia ada matoto ya wanaume wazembe then unatengenezewa zengwe ugombane na mwanamke baada ya kumaliza hayo majukumu.

Kama mkeo wa ndoa anafika point anakuwa anakuona kero kwenye maisha yake anataka uhuru baada ya wewe kupambania maisha kumpa yeye hifadhi na kumsitiri miaka yote ila siku akijua kazi hauna na kipato kimeshuka wewe ghafla unakuwa ni wa kazi gani na hataki ukaribu wa kimahaba tena.
 
Mkuu, upo sawa, ila hata wanao wa kuwazaa wanaweza kukutenda sivyo. Mwanaume pamoja na kutimiza majukumu usisahau kujiandalia maisha yako ya uzee. Kuwa na kabalance kako ka kula bata maana huwezi jua nini kitakukuta. Iwapo halitatokea huna ulilopoteza tofauti na likitokea la kutokea.
 
Mimi hadi sasa kila mpango ninao andaa unanihusu mimi kwa asilimia 90% hiyo 10% nimewawekea watu wa ziada wakiwamo wanawake kama sadaka. Nikiwa na laki atapata mgao wao 10,000 si zaidi.

Ambaye atanifanya ni chenji pesa yangu ni bi mkubwa sababu huruma yake kwangu nimeiona. Ameshajitoa sana kwangu. Hawa wengine ni ziada sana na sotegemei huruma yao maana najua namna wanadamu wa sasa tulivyo umbwa.

Watoto ni sehemu ya maisha yangu nawapambania waweze kusimama na sio kuja kuwa uwekezaji wa baadae kwa faida yangu no.
 
Single mother na mjane ni vitu viwili tofauti
 
Kama unataka sure ya kuwa anazaa, si unampa mimba kwanza, japo siyo busara kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…