Hasara za kuwa baba wa kambo

Halafu hiyo ada anamlipia nani
Ukishaolewa mumeo ndie anaewajibika na gharama zako pale ambapo haujiwezi sababu ndie mwenzako. Kama baba yako ataendelea kukusomesha pia ni jambo zuri sababu bado ni wanandoa wachanga mnajipanga.

Ndio maana huwa tunasema anaesomeshwa ni mke sio mchumba au demu tu.
 
Mpe 2yrs Anakwenda Kuwa Singeli Mama.
 
Ok boss.
 
Lea watoto wa wenzako bila kinyongo hata mungu atakubariki
 
Single maza na mjane ni makundi mawili tofauti kabisa, hata ukifatilia sababu za wao kujikita katika hali iyo huwa zinakua tofauti kabisa. Mjane kafiwa na mumewe, single maza ni matokeo ya maamuzi mabovu ya mwanamke
 
Mzee wangu ashawapiga tafu stranges kibao tu, hata mimi sitohofu kumpiga tafu mtoto wa mtu hata kama dingi yake yupo hai(kama nina hiyo nafasi na huo uwezo)..

Baba ni malezi.
 
Reactions: Tsh
Jidanganye hivyo hivyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kijana utaweza kuusaidia ukoo wako mzima??
Hizi akili unazotumia hapa ni za kihisia zaidi na sio akili za kiume..

Mpaka unaamua kumsomesha means uwezo unao na haikupunguzii kitu.

Na mimi sioi ili kumfurahisha mama, unaona hizi akili zenu ninyi watu. Mnaangalia nani atanionaje, nani atasema nini na sio mimi/wewe unataka nini!!
Sasa hata kujua mke yupi anafaa yupi hafai hadi umefika umri huo ni mpaka umuulize mama, utaoa kweli mzee!!

Kwa akili hizo sio single maza tu hata hao wasomi mnaowadiss daily huwawezi. Changamkia mabekitatu, hao wengine tuachie sisi watata.
 
Right kabisa.
 
Mzee wangu ashawapiga tafu stranges kibao tu, hata mimi sitohofu kumpiga tafu mtoto wa mtu hata kama dingi yake yupo hai(kama nina hiyo nafasi na huo uwezo)..

Baba ni malezi.
Hapa unatafuta sababu ya kuhalalisha usimp wako. Hakuna ndugu zako wanahitaji kupigwa tafu mpaka ukampige tafu mtoto wa single maza. You're just simping for the reward of pvssy, you're pvssy driven hakuna cha kupiga tafu wala nini hapa. You are a man not a boy, think by using your head not your dick.
 
Uyo mtoto wa single maza hana mjomba, shangazi, babu n.k mpaka wewe uingilie kati?

Embu tu-switch upande wewe una mtoto, hauna kazi(kama unayo haitoshelezi mahitaji yako na mtoto), kwa kifupi bado unataabika kimaisha. Halafu uyo single maza ambae unam-sponser yeye na mtoto ake ndio mambo yake yapo vizuri, unafikiri angekupokea na shida zako na kumsaidia mtoto wako?

Inasikitisha sana kuona tupo kwenye kizazi cha wanaume ambao mmezidiwa akili na wanawake. Again, think by using your head not your dick.
 
Hata kama sina mtoto niko mwenyewe na niko na hali ngumu sidhani kama mwanamke anaweza kunisaidia achilia mbali niwe na mtoto kabisa.

Jinsia Ke kuish na Me ambae ni apechealolo yaani Ke ndie awe provider kwao ni ngumu mno, miezi michache mbele utachapiwa na dharau zitakua nyingi. Sasa ndo uje na mwanao ati mwanamke ndio akulelee mwanao basi utakua na wazimu, hawanaga hiyo hao.

Mkuu wewe ni mdau wa 50/50??
 
Punguza jazba mjomba, ndivyo dunia ilivyo.
Huyo singo maza nikimuoa anakua mke wangu, wa ubani, mbavu yangu ya kushoto, msiri wangu na mengine mengi.
Sasa niache kumsaidia huyu ati kisa mtoto wa binamu yake mjomba ana shida fulani?

Imagine huyo single maza kanizalia wana, niache kumpiga tafu kwa dogo lake moja ilhali wote ni watoto tu.

Kama nilivyokwisha kuandika awali, kama uwezo wako ni wa ngama kama wangu huwezi toa chochote na ni kheri uache, lakini kama uwezo unao toa tu.

Usimp haupimwi kwa maandishi bali vitendo, ukatili na roho mbaya ya kibandidu sio ishara ya kua wewe ndio mwanaume bora, matendo ya huruma, misaada na upendo sio ishara ya usimp, usichanganye hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…