Albahi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2020
- 481
- 585
Aisee ahsante sana, ko wenyew wapo kivyao-vyao tu?Ni aina ya watu ambao sio wakujichanganya na watu wengine katika muda wao wa free
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ahsante sana, ko wenyew wapo kivyao-vyao tu?Ni aina ya watu ambao sio wakujichanganya na watu wengine katika muda wao wa free
Shukrani sana kiongozi.Ndio mkuu.
Bila shaka wanasifa nyingine nyingi
😀😀😂,Duuh.sina hata lakusema kuwa introvert ni raha lakini sometimes ni Kama mzigo!Uwa sometime sipend kuongea na mtu at sku zima ,sipend kupig Wal kupokea simu kwahyo watu wananiona Kama Nina dharau na Wat wanavonikwep mm ndo naenjoy
Madem huwa wanaforce Sana kuongea na mm mwisho was siku Wanaishia kunichukia tu ,
Huwa nakua na ma aibu ya kingese Hadi nabolonga kweny vit Kama photo shoot,,
Limwili kubwa afu nakua lipole huwa some time nachukia ila no way out
An introvert is often thought of as a quiet, reserved, and thoughtful individual. Kwa maelezo zaidi pitia huko What Is an Introvert? Personality, Characteristics, Type, and MoreHawa sijui introvert ndo watu gani aisee naombeni mnisaidie maan hili neno si geni na kila mtu anazungumza anavyojua.
Nimesoma nimepata faida kweli kweli.An introvert is often thought of as a quiet, reserved, and thoughtful individual. Kwa maelezo zaidi pitia huko What Is an Introvert? Personality, Characteristics, Type, and More
Shukrani.An introvert is often thought of as a quiet, reserved, and thoughtful individual. Kwa maelezo zaidi pitia huko What Is an Introvert? Personality, Characteristics, Type, and More
Sasa mkuu hata kwenye mishe huendi 3dys ndaniKiukweli me mwenyewe sipendi shobo na mtu nikinunua misosi yangu tia ndani naweza pitisha hata siku tatu sijatoka nje. Japo wadau huwa nawadanganya nimesafiri kumbe nipo zangu ndani tu
😂😂😂😂😂Kweli Mkuu mulemule yaanIntroverts Hate small talk. don't initiate conversations .don't speak unless they want to .prefers intellectual conversations. but once you get them talking. they can be hard to stop.
Aisee hii aina ya watu (Introvert) Ni nouma yaani unaweza hata usitokee kwenye misiba ya jirani halafu ukaona sawa tuu Au utaenda lakini utazuga kiduchu tu kisha kusepa na kwenda kuendeleza furaha yako ya upweke Anabu moja ukiwakuta Ni Introvert watupu yaani wanapiva story balaaa kila mmoja anapenda story ziendelee wanacheka na kugonga mikono Achaa kabisaa !Oh hongera yangu imelenga hayo maelezo yako yote mkuu. Hata Mimi Niko hivyo pia, na kwa miaka mingi nilikuwa sijui kwa nini Niko hivi, hadi nilipoona uzi umeandikwa na Da'Vinci kuhusu " Jinsi introverts wanavyopata shida kujichanganya na jamii/watu" ndipo nilipoelewa kwa nini Niko hivi.
Naam, imenipa kujikubali na kujiamini mno, sina rafiki, na maishani mwangu naweza kusema nimewahi kuwa na marafiki wawiki tu, ila wengine tunaongea kidogo tu, ndio imeisha. Mkuu kuna mengi mno, ila kama maelezo yako yalivyo, ni ndivyo na Mimi nilivyo. Nafurahi mno kuwa hivi, kwa sababu mpaka sasa naona Mungu ameniapusha na mambo mengi ambayo naona ni uovu, naam, hivyo nikiona mtu yuko kama maelezo yako,...nafurahi mno kuona na kusoma maelezo kama yako, maana yananipa raha.
Naam!!!
Ukijaribu kuondoka ndo unazidi kuharibu.Tabia ya kupenda kukaa peke yangu bila kuwa na mazoea sana na washakaji ama majirani, kuna siku niliumwa wakuu nikakaa ndani siku nzima nakunywa maji tu hakuna anayejua kama naumwa.
Homa ilinikamata vibaya nje sionekani washakaji na majirani wakajua ndio kawaida yangu kuwa ndani kumbe mwenzao maji ya shingo, niko mbali na familia, wife hayupo.
Nikapiga simu kwa wife, wife akasema huyu jamaa atakufa kwa sababu ananijua sina kampani, wife akasafiri kesho yake akaja ndio ikawa afadhali yangu maana ugonjwa ukiwa peke yako unazidi.
Nikasema nikipona mimi jamani ntatafuta washkaji wa kutembeleana ili nikipata matatizo nisaidiwe, baada ya wiki kupona ndio kwanza nikazidi kujichimbia ndani na vitabu vyangu uchwara[emoji3][emoji3][emoji3]
Nashauri wakuu tujitahidini kuwa na watu wa karibu washkaji ama majirani, mimi imenishinda kidogo.
I see me here[emoji23] majirani zangu walitumia mwaka mzima kujua jina langu, watu niliowazoea hawajui kwamba mimi si muongeaji ni vile nimezoeana nao kwahiyo niko free kwao!Mimi ujanja wangu mwisho nyuma ya keyboard, sipendi kuzoeana na mtu akileta mazoea nampotezea haraka mno, ni salamu halafu kila mtu aendelee na maisha yake.
At least marafiki waliombali ndio nadumu nao kwa kuwa tunachat na kuongea kwa simu.
Nimekuelewa vizuri sana 100%Introvert = Online Businessman
Introvert = Books Reader
Introvert = Gamer
Introvert = Movies Addicted
Introvert = Workout/Yoga
Bana kama wewe introvert na hau engage kwenye kitu hata kimoja hapo juu toka tu humo ndani kapige story kijiweni usije kuwaza kujiua bure.
NB: Raha ya kuwa Introvert especially Dunia ya sasa uwe na pesa/kipato bila ya hivi tatizo sana, kuna material things zinasaport hali ya Introvert most of them ni Expensive kuwa navyo, pia Introvert hatakiwi kuwaza pesa ya kula anatakiwa kuwa na kipato ili awe Mind Free kuwaza makubwa.
Mimi Introvert sana ila kwasababu za uchumi inabidi niuvute u-extrovert kidogo kwa muda kuna mshikaji wangu anakuja DSM tutaishi wote geto kuna mitikasi yakufanya, So kuna uhusiano mkubwa au mvutano wa Uchumi na U-introvert kuna watu wamekuwa Introvert baada ya kuwa na uchumi/kipato.
Mkuu mimi ni introvert ila wewe umezidi,Tabia ya kupenda kukaa peke yangu bila kuwa na mazoea sana na washakaji ama majirani, kuna siku niliumwa wakuu nikakaa ndani siku nzima nakunywa maji tu hakuna anayejua kama naumwa.
Homa ilinikamata vibaya nje sionekani washakaji na majirani wakajua ndio kawaida yangu kuwa ndani kumbe mwenzao maji ya shingo, niko mbali na familia, wife hayupo.
Nikapiga simu kwa wife, wife akasema huyu jamaa atakufa kwa sababu ananijua sina kampani, wife akasafiri kesho yake akaja ndio ikawa afadhali yangu maana ugonjwa ukiwa peke yako unazidi.
Nikasema nikipona mimi jamani ntatafuta washkaji wa kutembeleana ili nikipata matatizo nisaidiwe, baada ya wiki kupona ndio kwanza nikazidi kujichimbia ndani na vitabu vyangu uchwara😀😀😀
Nashauri wakuu tujitahidini kuwa na watu wa karibu washkaji ama majirani, mimi imenishinda kidogo.