Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

Uwa sometime sipend kuongea na mtu at sku zima ,sipend kupig Wal kupokea simu kwahyo watu wananiona Kama Nina dharau na Wat wanavonikwep mm ndo naenjoy
Madem huwa wanaforce Sana kuongea na mm mwisho was siku Wanaishia kunichukia tu ,
Huwa nakua na ma aibu ya kingese Hadi nabolonga kweny vit Kama photo shoot,,
Limwili kubwa afu nakua lipole huwa some time nachukia ila no way out
 
😀😀😂,Duuh.sina hata lakusema kuwa introvert ni raha lakini sometimes ni Kama mzigo!


Pole mkuu!
 
An introvert is often thought of as a quiet, reserved, and thoughtful individual. Kwa maelezo zaidi pitia huko What Is an Introvert? Personality, Characteristics, Type, and More
Nimesoma nimepata faida kweli kweli.

Juzi nikawa naongea na broo wangu mmoja hivi nikamtest nikamuambia natoka maskani saivi kupiga stori na wana,akaniambia safuaher tokea lini ukae maskani na watu ukapiga stori,tokea utoto wako ulikuwa huna maskani wewe bali ulikuwa na marafiki.
 
Kiukweli me mwenyewe sipendi shobo na mtu nikinunua misosi yangu tia ndani naweza pitisha hata siku tatu sijatoka nje. Japo wadau huwa nawadanganya nimesafiri kumbe nipo zangu ndani tu
Sasa mkuu hata kwenye mishe huendi 3dys ndani
 
Introverts Hate small talk. don't initiate conversations .don't speak unless they want to .prefers intellectual conversations. but once you get them talking. they can be hard to stop.
😂😂😂😂😂Kweli Mkuu mulemule yaan
 
Aisee hii aina ya watu (Introvert) Ni nouma yaani unaweza hata usitokee kwenye misiba ya jirani halafu ukaona sawa tuu Au utaenda lakini utazuga kiduchu tu kisha kusepa na kwenda kuendeleza furaha yako ya upweke Anabu moja ukiwakuta Ni Introvert watupu yaani wanapiva story balaaa kila mmoja anapenda story ziendelee wanacheka na kugonga mikono Achaa kabisaa !
 
Ukijaribu kuondoka ndo unazidi kuharibu.
 
Mimi ujanja wangu mwisho nyuma ya keyboard, sipendi kuzoeana na mtu akileta mazoea nampotezea haraka mno, ni salamu halafu kila mtu aendelee na maisha yake.

At least marafiki waliombali ndio nadumu nao kwa kuwa tunachat na kuongea kwa simu.
I see me here[emoji23] majirani zangu walitumia mwaka mzima kujua jina langu, watu niliowazoea hawajui kwamba mimi si muongeaji ni vile nimezoeana nao kwahiyo niko free kwao!
 
Nakosa marafiki wapya, niliozoea mupiga nao story kama hawapo basi ntaenda kulala, sipendi kumkwaza mtu aibu itaondoka nikilewa
 
Nimekuelewa vizuri sana 100%
 
Mkuu mimi ni introvert ila wewe umezidi,

Umejitenga mpaka na wife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…