Mrema anajiandaa kumpindua Hashim Rungwe ili yeye ndiye awe Mwenyekiti wa CHAUMAMzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Mzee wa Kigoma ujiji , tabia aina ya kuongea ni ujiji Kila kituAnaitwa.....
Hashim Rungwe Spunda...🤣
Kuna ubaya?Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
CHAUMA ni Mojawapo ya vile Vyama MamlukiRungwe ni jabali la siasa za upinzani nchini
Huyu ndo mpinzani wa kweli, siyo Wewe na Mbowe wenu mmepewa rushwa mmekauka kimya, kisa mnajua kutunza Siri. Acha sisi tuende na wakili msomi mzee Hashimu Spunda. Ukimhonga umeyakanyaga ndo maana CCM wakaishia kuwahonga chadema mnaojua kutunza Siri.Hashim Rungwe hana siri hata ukimwambia mwanangu zuia laki 3 hii hapa usiseme kitu, yeye atakuja tu kusema fulani alinipa laki 3 akasema nisiseme kitu