Wapi sasa nilipoumia walipojitoa?
Ninakazia:
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Kwamba si wenzetu au ni wenzenu au wenzake na Rungwe kuna shida gani hapo ndugu?
Wapi kafukuzwa mtu wakati mwenyewe anachagua kwenda kwa wenzake hata kama ni kina Rungwe?!
Au mlipenda mbaki hivyo hivyo huku na gotini pale pia, mpo? Looh!
View attachment 3347575
Kama ndivyo kwa nini kujiengua kwenu kuwe issue yoyote kwetu?
Ndugu sisi kwa hao kuondoka kwao kwetu ni neema iliyo chelewa mno! Tunachokataa ni haya unayotwambia wewe kuwavumilia. Kwani wapi hatukuwavumilia madalali na chawa hao?
Au huku kutokuwa na watu mizigo wa aina zao, nako kunakuuma tena?
Mkuu sisi jahazi linasonga:
View attachment 3347578
No reforms no elections, agenda ya wananchi!
Na hiyo ndiyo inayomlaza maza na viatu, pressure juu!
imhotep unamwelewa kijana mpenda nyama na pombe za bure huyu?