G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
- Thread starter
- #21
Aisee kumbe udalali kaanza zamani? Riba ilikuwa asilimia ngapi?Tukiweka siasa pembeni. Mzee Rungwe yupo fresh sana. Vijana tulikuwa tukihitaji milioni 5 au 10 ya chap chap unaenda ofisi yake anaithaminisha ndinga yako unaipaki uani mnakubaliana anakupa mpunga ukifanya mambo yako unarudisha pesa kutokana na makubaliano unachukua ndinga yako.