PreGE2025 Hasheem Rungwe asema sasa analindwa, kila kitu kimebadilika na usafiri mpya amepewa. Asema mshenga alikuwa John Mrema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.

Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.

Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Rungwe yuko very open na mwenye heshima sana. ..Fridge haligandhishi kabisa.. Kila la heri kwenye siasa za Tanzania. Akipata angalao wabunge 5 wanatosha..na ACT 2. Jumla 7. Ukiweka na viti maalum wanaweza kufika 20 total pamoja na Zanzibar. Kutoka 112 mpka 20 siyo mchezo.
 
Tukiweka siasa pembeni. Mzee Rungwe yupo fresh sana. Vijana tulikuwa tukihitaji milioni 5 au 10 ya chap chap unaenda ofisi yake anaithaminisha ndinga yako unaipaki uani mnakubaliana anakupa mpunga ukifanya mambo yako unarudisha pesa kutokana na makubaliano unachukua ndinga yako.
 
Hashim Rungwe hana siri hata ukimwambia mwanangu zuia laki 3 hii hapa usiseme kitu, yeye atakuja tu kusema fulani alinipa laki 3 akasema nisiseme kitu
Huyu ndo mpinzani wa kweli, siyo Wewe na Mbowe wenu mmepewa rushwa mmekauka kimya, kisa mnajua kutunza Siri. Acha sisi tuende na wakili msomi mzee Hashimu Spunda. Ukimhonga umeyakanyaga ndo maana CCM wakaishia kuwahonga chadema mnaojua kutunza Siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…