King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Swali lililobaki, huyu Mrema yeye ni mshenga akimwakilisha nani?Amepigwa, Mtu mwenye Jina la Mrema? Ndo kamkarimu?
Swali lililobaki, huyu Mrema yeye ni mshenga akimwakilisha nani?
Hizo ndo siasaMzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Wao kujiondoa hakuwapi legitimacy waliobaki, makosa yapo mengi tu kwa nyie team Lissu kudhani mna haki kuliko wana chadema wengine.G-55, madalali na chawa ulikuwa mzigo kwenye safari isiyo na matumaini. Ama hakika ilikuwa Bora mno wakwendree!
imhotep, Fortilo, Drifter, binti kiziwi na wale wengine au nasema uongo?
Na dhambi ya usaliti ni mbaya sanaHongera yake kujisaliti na kuwasaliti watanzania
Wao kujiondoa hakuwapi legitimacy waliobaki, makosa yapo mengi tu kwa nyie team Lissu kudhani mna haki kuliko wana chadema wengine.
Chama kinahitaji wananchi kukiunga mkono, lakini nyie kila msiyekubaliana naye mnataka aondoke, lakini nyie mlivumiliwa wakati wao wameshika hatam.
Na wao wange taka mjiondoe leo mngekuwa chadema?
Hivi nyie mkitawala mtakuwa tofauti na ccm wasiotaka mawazo tofauti??
Rungwe hanaga siri.Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Hashimu Rungwe si pundaAnaitwa.....
Hashim Rungwe Spunda...🤣
Fanyeni siasa jumuishi uccm ni ujunfa utawaharibu hamtafika popote.Madalali na chawa was kisiasa hawawezi kuwa wadau kwenye ukombozi.
Wewe hujui tulikuwa wazi kuwa hatuhami chama na tutabanana hapa hapa!
Hukuwahi tukisema alipo tupo?
Hukuwahi kuyasikia haya haya?
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Au ulipata kujiridhisha hayo yalikuwa ya lini?
Fanyeni siasa jumuishi uccm ni ujunfa utawaharibu hamtafika popote.
Mawazo tofauti ni afya, nyie mnataka kudumisha fikra za mwenyekiti.
Inakuumiza wakijitoa? Au ulitakaje?Kauli ya msingi si ni hii hapa?
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Kwani kuna anayeenguliwa?
Si wanajiengua wenyewe kwenda ambako udalali na uchawa ni hulka yao?
Au kumbe wewe ungetaka je ndugu?
imhotep, na wale wengine au nasema uongo?
Bahari Motors 😂😂Tukiweka siasa pembeni. Mzee Rungwe yupo fresh sana. Vijana tulikuwa tukihitaji milioni 5 au 10 ya chap chap unaenda ofisi yake anaithaminisha ndinga yako unaipaki uani mnakubaliana anakupa mpunga ukifanya mambo yako unarudisha pesa kutokana na makubaliano unachukua ndinga yako.
Inakuumiza wakijitoa? Au ulitakaje?
Udalali wao wewe unakusaidia nini au unakusaidiaje?
Waache wafanye wafanyacho nawe fanya ufanyacho.
Wafukuzwe au waondoke kwa utashi wao hayo maamuzi ni yao ni watu wazima, nisichoelewa ni wewe kwanini inahangaika sana?
Unataka kudumisha fikra za mwenyekiti, dumisha tu.
Uchawa wako hauna tofauti na wale wa ccm.
Watu wanaondoka, wewe ndiye unaumia hata sielewi una tatizo gani, au ulitakeje?
Yani umeshindwa kutoja kwenye u team Lisu kusifu na kuabudu, umeshindwa kuendelea na siasa umebaki kama mjane anaye mlilia mumewe miaka nenda rudi, waache waende au wafuate kama unawapenda, chauma hapo siyo mbali! Kwanini ubateseka sana?Wapi sasa nilipoumia walipojitoa?
Ninakazia:
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Kwamba si wenzetu au ni wenzenu au wenzake na Rungwe kuna shida gani hapo ndugu?
Wapi kafukuzwa mtu wakati mwenyewe anachagua kwenda kwa wenzake hata kama ni kina Rungwe?!
Au mlipenda mbaki hivyo hivyo huku na gotini pale pia, mpo? Looh!
View attachment 3347575
Kama ndivyo kwa nini kujiengua kwenu kuwe issue yoyote kwetu?
Ndugu sisi kwa hao kuondoka kwao kwetu ni neema iliyo chelewa mno! Tunachokataa ni haya unayotwambia wewe kuwavumilia. Kwani wapi hatukuwavumilia madalali na chawa hao?
Au huku kutokuwa na watu mizigo wa aina zao, nako kunakuuma tena?
Mkuu sisi jahazi linasonga:
View attachment 3347578
No reforms no elections, agenda ya wananchi!
Na hiyo ndiyo inayomlaza maza na viatu, pressure juu!
imhotep unamwelewa kijana mpenda nyama na pombe za bure huyu?
Yani umeshindwa kutoja kwenye u team Lisu kusifu na kuabudu, umeshindwa kuendelea na siasa umebaki kama mjane anaye mlilia mumewe miaka nenda rudi, waache waende au wafuate kama unawapenda, chauma hapo siyo mbali! Kwanini ubateseka sana?
Lisu ndiye mwenyekiti wako, zidumu kikra za mwenyekiti!
Ukue na uendelee na siasa za chadema siyo za kuongea kuhusu watu asubuhi mpaka jioni.
Tena kwa hizo hela ndogo ndogo anakulipua hata kabla hujaondoka!Hashim Rungwe hana siri hata ukimwambia mwanangu zuia laki 3 hii hapa usiseme kitu, yeye atakuja tu kusema fulani alinipa laki 3 akasema nisiseme kitu
Unahangaika sana na waliohamia chauma. Wameshaondoka chadema wewe fanya siasa zako za kichadema.Wapi analiliwa nani?
Mbona mnapenda kujipa umuhimu msio nao au hata ambao hamkuwahi kuwa nao?
Tangu lini mchukuzi wa pakacha linalovuja akajali kuvuja kwake?
Wapi unapoona nina taabu na awaye yote kokote aendakako?
Habari ya mjini Iko hapa:
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Unataka, karibu. Hutaki, wewe si mwenzetu hata ukiondoka sisi burudani!
imhotep huyu ndugu ni wapi asipoelewa?
View attachment 3347601
Nani anaumia na nani Kwa kutokubaliana nasi kwenye vita hivi vitakatifu?
Hatukuumia na kina njinjo, Lucas Mwashambwa, au Tlaatlaah CCM huko, atakuwa mrema au mchome ?