B Babu bul JF-Expert Member Joined Oct 5, 2022 Posts 1,740 Reaction score 2,167 May 27, 2025 #81 Kwa hiyo huyu Bwana Mrema ni Mafi wa wizi wa Hela zetu kupitia siasa chafu!! Alaaniwe ila nasikia pesa anamaliza kwenye pombe na nyama!!
Kwa hiyo huyu Bwana Mrema ni Mafi wa wizi wa Hela zetu kupitia siasa chafu!! Alaaniwe ila nasikia pesa anamaliza kwenye pombe na nyama!!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,063 May 27, 2025 #82 Nanye Go said: Unahangaika sana na waliohamia chauma. Wameshaondoka chadema wewe fanya siasa zako za kichadema. Unataka kudumisha fikra za mwenyekiti ni shauri yako na akili zako. Achana na siasa za kutaja watu. Click to expand... Nani katajwa? Au nani kahangaika na nani? Japo yaonekana kukugusa sana, ninakazia: Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Nanye Go said: Unahangaika sana na waliohamia chauma. Wameshaondoka chadema wewe fanya siasa zako za kichadema. Unataka kudumisha fikra za mwenyekiti ni shauri yako na akili zako. Achana na siasa za kutaja watu. Click to expand... Nani katajwa? Au nani kahangaika na nani? Japo yaonekana kukugusa sana, ninakazia: Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?