Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
yuko CBA sasa....mtoto wa queens bridge , new york ...naughty by nature....Hahaaa..MWP mara ya kwanza namsoma kua hafai ni kipindi akiwa Pacers,ikapigwa ile brawl ya Malice in Palace na Denver...Jamaa mwehu kweli,jamaa kaacha kucheza kakimbilia kwenye stands kaanza kutoa dozi kwa fans non-stop
Hee,ghafla bin vuu nikamuona kwenye video ya Nas na Premier ya Nas Is Like,nikajua jamaa ni straight up gangstar way kitambo....
Ila the last time I heard about him alikia New York Knicks,naona kaacha now ila hajatangaza rasmi...
alikuwepo kwenye mtv punk`d episode moja hivi....yule prankstar alimsumbua sana kutaka autograph...but meta acted cool...zingemruka angerusha ngumi...