Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
eti visimbilisi...... JF never boringIla jamaa naye mizinguzi...kukaa kote mtoni na mawe alikua nayo..ana kuja bongo ndo anatembea na hivi "visimbilisi" vya kariakoo...si angejitafutia mkwaju mkali...sema ndo ukiwa star sometime unakuwa na reasoning ya kipimbi![emoji23]
Thats it mkuu!eti visimbilisi...... JF never boring
Mafanikio yake budget ya Tanzania three years my foot...budget ya Tanzania inacheza between 18-21 trillion Tsh let's assume approximately ni 20 trillion Tsh zidisha kwa Tatu means Hashim Thabeet anafika Trillion 60???? Kalale uote tenaAcheni kumsema vibaya jirani yangu. nendeni kwenye website ya NBA utajua wapi yuko. othrws mnapiga domo la bure tu but kufikia mafanikio yake lbd budget ya Tz 3yrs
Hahahhahahahhaah ukaamua ku copy hiyo ya lineKila Kitu kina kipindi chake,mbio za vijiti kwasasa kashakabidhi kijiti kwa wengine,his career is over like Mike anyone Jackson,Jordan,Tyson.
hahahaaaaaaaaaaaaaUsicheze na watu wenye dhiki sio wote lkn wengi wao wana roho mbaya wanatamani udrop wakupake mavi usoni
kwasababu sisi wenyewe tukipata tunaanza kuwadharau wale walio kuwa wenzetu ,jinsi unavyoona roho za chuki dhidi ya waliofaikiwa ujue inareflect roho ya kujiskia baada ya kufanikiwa nakuwaona wotee si mali kitufuraha kubwa ya wabongo walio wengi siku zote ni kuona mtu anafeli maisha!! asilimia kubwa ya wabongo ni viumbe wenye roho mbaya sana na ya kwanini fulan afanikiwe! kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, hivyo kushuka kwa Hasheem wabongo wenye roho za korosho wamefurahi sana maana hata comment za baadhi yao zinajieleza, utadhani wanafaidika na Hasheem kutoka NBA!
Alikula nyuchi yenye mkosi ya kidoti lazima aharibikiwe tu!
wamemaliza nguvu zoteHuyu jamaa atakua alijiloga mwenyewe ,yaani jitu refu vile kutembea na Vanesa ? Ule ulikua ukiukwaji wa haki za binadamu kabisa , Natania tu ,sijui ni nini kimempata ndugu yetu Hashim
ajiunge kwenye porno tu sasaMara ya mwisho nilisoma article moja inaelezea namna alivyochoka amebakia kuwa na watoto kutoka kwa wanawake mbali mbali
Si ndiyo aliyoweza kuendeleza na kuinvest zaidiAaah hii nouma sasa, kwenye porn tena!!
Mbona mimi sijawahi kuona hata Clip moja ya porn ambayo ina sura ya Hasheem!?Si ndiyo aliyoweza kuendeleza na kuinvest zaidi
Kweli hakuna clip ila huko kafanya mazoezi ya kutosha wanaweza kwa star ha ha ha wasije kuna team take nikanyambwa wima wima ha ha haMbona mimi sijawahi kuona hata Clip moja ya porn ambayo ina sura ya Hasheem!?
Kama ni akina Kidoti na Vanessa si aligonga tu kikawaida kama tufanyavyo wengine!!
Ana nafasi bado tumtie moyo arudi kileleni kwenye game ya Kikapu!!
Kweli hakuna clip ila huko kafanya mazoezi ya kutosha wanaweza kwa star ha ha ha wasije kuna team take nikanyambwa wima wima ha ha haMbona mimi sijawahi kuona hata Clip moja ya porn ambayo ina sura ya Hasheem!?
Kama ni akina Kidoti na Vanessa si aligonga tu kikawaida kama tufanyavyo wengine!!
Ana nafasi bado tumtie moyo arudi kileleni kwenye game ya Kikapu!!