Hasheem Thabeet yu wapi!?

Hasheem Thabeet yu wapi!?

Ila jamaa naye mizinguzi...kukaa kote mtoni na mawe alikua nayo..ana kuja bongo ndo anatembea na hivi "visimbilisi" vya kariakoo...si angejitafutia mkwaju mkali...sema ndo ukiwa star sometime unakuwa na reasoning ya kipimbi![emoji23]
eti visimbilisi...... JF never boring
 
Acheni kumsema vibaya jirani yangu. nendeni kwenye website ya NBA utajua wapi yuko. othrws mnapiga domo la bure tu but kufikia mafanikio yake lbd budget ya Tz 3yrs
Mafanikio yake budget ya Tanzania three years my foot...budget ya Tanzania inacheza between 18-21 trillion Tsh let's assume approximately ni 20 trillion Tsh zidisha kwa Tatu means Hashim Thabeet anafika Trillion 60???? Kalale uote tena
 
Kila Kitu kina kipindi chake,mbio za vijiti kwasasa kashakabidhi kijiti kwa wengine,his career is over like Mike anyone Jackson,Jordan,Tyson.
Hahahhahahahhaah ukaamua ku copy hiyo ya line
Ya mwisho Kutoka kwenye wimbo wa Jay na Kanye Niggas in Paris .
 
Alikuwa determined na akaweza... kuna mahala akakosea ikamfanya asidumu kwa muda mrefu! Siwezi kukejeli mafaniko kama haya hata siku moja hasa nikizingatia kwamba, kama sio wote sisi, basi angalau mimi binafsi nimejaribu kufanya kile nilichotamani ndo kiwe career yangu lakini hadi sasa sijafikia mafanikio aliyofikia mwenzangu. Sasa nitajidanganya nikisema mimi niliyejaribu lakini sijafanikiwa na umri unazidi kusonga ndie smart zaidi kuliko yule aliyejaribu, akafanya na akafanikiwa lakini mbele ya safari akaanguka.

Na ninaposema yeye "akaweza" ni kwamba kwenye career yake aliweza kuwa Tanzanian outstanding basketball mwenye level za kimataifa! Ikiwa my career goal ni kuwa accountant, basi nitajilinganisha na yeye endapo nitakuwa outstanding Tanzanian accountant. Uangukaji wake kwangu nitauchukulia kama changamoto endapo nitafikia pale ambapo yeye alifikia kwa kujihoji "ni nini hasa mwenzangu alifanya hata akashindwa kudumu!" Ni matumaini yangu Mbwana Samatta ameshajiuliza swali hili na ameshafahamu nini anatakiwa kufanya na nini hatakiwi kufanya.
 
furaha kubwa ya wabongo walio wengi siku zote ni kuona mtu anafeli maisha!! asilimia kubwa ya wabongo ni viumbe wenye roho mbaya sana na ya kwanini fulan afanikiwe! kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, hivyo kushuka kwa Hasheem wabongo wenye roho za korosho wamefurahi sana maana hata comment za baadhi yao zinajieleza, utadhani wanafaidika na Hasheem kutoka NBA!
kwasababu sisi wenyewe tukipata tunaanza kuwadharau wale walio kuwa wenzetu ,jinsi unavyoona roho za chuki dhidi ya waliofaikiwa ujue inareflect roho ya kujiskia baada ya kufanikiwa nakuwaona wotee si mali kitu
 
Mimi nasikitika kwa sababu nilitarajia kumwona akitamba sana NBA kama wageni wengine kule America kina Dikembe Mutombo au kina Yao Ming!!
Lakini kwa kweli sijui kilichomtokea mdogo wangu Hasheem, ndoto zangu za kumwona akiwa ndiye mchezaji tegemeo kwenye mojawapo ya timu NBA zimeyeyuka!!

Ila naamini kiumri bado sana na ana nafasi ya kujirudi kama atakaza!!

Wake up Hasheem.
 
Si ndiyo aliyoweza kuendeleza na kuinvest zaidi
Mbona mimi sijawahi kuona hata Clip moja ya porn ambayo ina sura ya Hasheem!?

Kama ni akina Kidoti na Vanessa si aligonga tu kikawaida kama tufanyavyo wengine!!

Ana nafasi bado tumtie moyo arudi kileleni kwenye game ya Kikapu!!
 
Mbona mimi sijawahi kuona hata Clip moja ya porn ambayo ina sura ya Hasheem!?

Kama ni akina Kidoti na Vanessa si aligonga tu kikawaida kama tufanyavyo wengine!!

Ana nafasi bado tumtie moyo arudi kileleni kwenye game ya Kikapu!!
Kweli hakuna clip ila huko kafanya mazoezi ya kutosha wanaweza kwa star ha ha ha wasije kuna team take nikanyambwa wima wima ha ha ha
 
Mbona mimi sijawahi kuona hata Clip moja ya porn ambayo ina sura ya Hasheem!?

Kama ni akina Kidoti na Vanessa si aligonga tu kikawaida kama tufanyavyo wengine!!

Ana nafasi bado tumtie moyo arudi kileleni kwenye game ya Kikapu!!
Kweli hakuna clip ila huko kafanya mazoezi ya kutosha wanaweza kwa star ha ha ha wasije kuna team take nikanyambwa wima wima ha ha ha
 
Back
Top Bottom