GE2025 Hashim Rungwe: Sisi CHAUMMA kuna watu wanatupa hela kufanya yote haya, kuna siku nitawataja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!

Tangu lini chama cha siasa kuchangiwa imekuwa kitu cha ajabu? Mnashikilia kila chelewa inayopita ili kujinusuru kuzama.

Amandla...
 
Bahati mbaya zaidi wale watekaji wanaweza kumfanyia jambo
 
Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!

Zee la hovyo. Si utaje badala ya kutishia ili uongezewe dau? Kwa umri huo kama wangu bado unasumbuliwa na kuendekeza njaa?
 
Back
Top Bottom