WanamtandaoItakuwa mafisadi ndio wanaipa chaumma fedha
Done ✅ ni suala la muda tu!!Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
kabla hajafa apasue mbarika paaaaaaa!anakaribia kufa tumwombee
Kweli?Chama dola kama CCM kuchangia CHAUMMA ni kawaida?Tangu lini chama cha siasa kuchangiwa imekuwa kitu cha ajabu? Mnashikilia kila chelewa inayopita ili kujinusuru kuzama.
Amandla...