GE2025 Hashim Rungwe: Sisi CHAUMMA kuna watu wanatupa hela kufanya yote haya, kuna siku nitawataja

GE2025 Hashim Rungwe: Sisi CHAUMMA kuna watu wanatupa hela kufanya yote haya, kuna siku nitawataja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hizi pesa zitarudishwa vipi hapo ndo zitaanzishwa kodi aisee Afrika
 
Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!

Kongole kwake mwandishi wa habari. Kamchokonoa mzee mpaka kajichanganya kwa kusema ipo siku tutawajua.

Wanasema mzee akianza kuzeeka anakuwa kama mtoto. Hapo mwandishi alikuwa anafanya intavyuu na mtoto, hivyo alipaswa awepo mtu mwingine wa kumonita hiyo intavyuu!

Kuanzia sasa mzee hataruhusiwa kufanya intavyuu peke yake!
 
Hapana bwana. Waandisj hawa ndio watamponza. Alijitulilia zakee mzee watu hata hakua akisikika. Hawa waandishi uchwara hawaaaa ndio wameanza kumchokonoa
Kweli mkuu, halafu Mzee ni mkweli kupitiliza hapindishi, utafikiri sio politician.
 
Si ndio vizuri akisema wanaowapa hela ili wafahamike kwakuwa si kosa chama cha siasa kuchangiwa? Hofu yako ni nini hapo Chauma?
Kwani amekataa kuwataja? Si amesema watawekwa wazi tu?

Wakati huo na nyie muweke wazi hesabu za Tone Tone kama mlivyo ahidi.

Amandla...
 
Lazima warudi mezani ili fedha zote walizokuwa wamehaidiwa kwa ajili ya yule striker hatari nazo apewe pamoja na kwamba usajiri haukufanyika.
 
Back
Top Bottom