Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ngoma ya Shetani huwa haikeshi, hofu ni kwamba hawatamuua?Ameamua kumwaga biriani
Ngoma ya Shetani huwa haikeshi, hofu ni kwamba hawatamuua?Ameamua kumwaga biriani
Mjanjajanja huyu rungwe spundaOooh mzee kaamua kumwaga ubwabwa
Mwamba hapo alipo kimba linagonga chupi!Zee la hovyo. Si utaje badala ya kutishia ili uongezewe dau? Kwa umri huo kama wangu bado unasumbuliwa na kuendekeza njaa?
Binti zake wale wawili wanagombea ubunge kupitia chauma ze komedi showNgoma ya Shetani huwa haikeshi, hofu ni kwamba hawatamuua?
Hawezi kutaja wowote!Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
Si ndio vizuri akisema wanaowapa hela ili wafahamike kwakuwa si kosa chama cha siasa kuchangiwa? Hofu yako ni nini hapo Chauma?Tangu lini chama cha siasa kuchangiwa imekuwa kitu cha ajabu? Mnashikilia kila chelewa inayopita ili kujinusuru kuzama.
Amandla...
Ukiona hivyo, ujue kwenye suala la hela wanaanza kumchanganyia habari. Na yeye ni mzee wa mjini hayuko tayari Chama chake kutumika na wahuni kisha asione hela.Hana amani mzee wangu hata ukikutana nae utaelewa!!!!
Atadondoshwa
Sidhani hata kama ana udhibiti tena wa bank account za chama!!😥😥Ukiona hivyo, ujue kwenye suala la hela wanaanza kumchanganyia habari. Na yeye ni mzee wa mjini hayuko tayari Chama chake kutumika na wahuni kisha asione hela.
Thubutu 🐼Watampoteza muda si mrefu.
Ndio maana ameanza kuonyesha kuwa yeye sio boya.Sidhani hata kama ana udhibiti tena wa bank account za chama!!😥😥
This AI tunaoijua tumegunduaMzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
Yani msoma taarifa ya habari channel ten SALUM MWALIMU .... channel TAKATAKA la ccm..Leo awe mgombea ampinge mwenyekiti wake,na MKIZIMKAZI mwenzake !!!..halafu wote wanagombea BARA...Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!