Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Shangazi na comment zako😄Oooh mzee kaamua kumwaga ubwabwa
Tangu lini chama cha siasa kuchangiwa imekuwa kitu cha ajabu? Mnashikilia kila chelewa inayopita ili kujinusuru kuzama.Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
Huwa upo positive sana mkuu humu jukwaani.Lizee muda wowote litakosa mihela ya jamhuri liache lione sasa
Zee la hovyo. Si utaje badala ya kutishia ili uongezewe dau? Kwa umri huo kama wangu bado unasumbuliwa na kuendekeza njaa?Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
Mzee hajui kula na kipofuHuwa upo positive sana mkuu humu jukwaani.
Naona leo mzee ubwabwa kakukera mpaka pa mwisho kwa kutokuwa na confidentiality kwenye mambo ya msingi.
Na ni hatari pia kwake kwa hii michezo inayoendelea nchini kwa wakati huu.
Kazidi ubwatukaji kwa kweliMzee hajui kula na kipofu
Kimenuka!!Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
Huyu anaipenda mbingu! Hataki hatia juu ya taifa hiliMzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa
==========
Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!