Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Wakati anatangulizwa atakua anasindikizwa na mashoga zaidi ya miamoja ambao nao watakua wametangulia kwa baba.
Raisi na huyu wa sasa kaenda na mashoga wangapi,,,,,,Netanyahu aje tu atangulie hata na mashoga wa huku kwanza na inajulikana wako ukanda upi
 
Yes, Jibu ninalo. Mtashangaa sana mtakapofika huko na kukuta kumbe hakuna cha mabikra wala mito ya pombe mtahuzunika sana.
Warumi waliwapiga chenga la macho wampiganie kamanda wao baadae wao wale bata sistine chapel
 
Breaking: Israel eliminated Hassan Khalil Yassin, who replaced Hassan Nasrallah hours ago.This breaks the Guinness world record for the shortest tenure as the head of a terrorist organization.
 
Wasafi classic anakuja......huyu hawajamfanyia Installation ya pdidy operating system kweli
Breaking: Israel eliminated Hassan Khalil Yassin, who replaced Hassan Nasrallah hours ago.This breaks the Guinness world record for the shortest tenure as the head of a terrorist organization.
 
Ingekua vema ungesema Hashim ameingizwa katika orodha ya watu watakaouawa na mazayuni.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ mtangazeni marehemu kuiongoza Hezbollah!.

R.I.H Hashim
 
Wameshaamua kusimamia wanachokiamini, kufa kwao sio issue tena, kifupi wamechagua kufa.

Uwepo wao hao wanaoitwa magaidi tafsiri yake amani kwa Israeli haiwezi kuwepo maana magaidi Kila leo wanatafuta mbinu yakusurvive na kutimiza azma zao.

Duniani sio kila mtu ni mjinga kama sisi wengine tulivyoamua kuwa wajinga, Dunia zipo jamii au watu wasiokubali kunyanyaswa, inapofika suala la kunyanyaswa basi wao huchagua kifo.

Nyuma ya Israel kuna USA, UK na allies wengine wenye nguvu lakini nyuma ya masikini wa Palestina wamesimama wanyonge wasio na nguvu Iran, Hamas na Hizbollah lakini pamoja na unyonge wao wameamua kutochagua kupiga magoti au kuinama bali wamechagua kufia wanachokiamini.

Siku tukitaka balance of power, basi tuhakikishe Palestina wanakuwa na utawala wao, jeshi lao, na uhuru wakununua silaha, technolojia nk Kwa wakati wowote watakao kama Israeli, Iran pia asiwekewe vikwazo aachwe afanye anavyoona inafaa kama adui yake Israeli ili kuwe na balance of power halafu tuseme sasa Israeli kidume na sio style ya kuwafunga mikono wengine mikono na kumuacha Israeli atambe.
 
Hivi ni kweli huyo Nasirala mayahudi yamemuua?
 
Umeongea kwa tafakuri ya kusikitisha sana.

Unachomaanisha ni kwamba Hamas, Hezbola na Iran wapo kuwasaidia Palestina wanaonyanyaswa.

Swali la kujiuliza,

Ni kweli Palestina wananyanyaswa?
Ni nani alieanza kumchokoza mwenzie kwny vita vya gaza?

Nani alikuwa mchokozi dhidi ya hamas na sasa dhidi ya hezbolaa?

Mtu unaweza kusema unachagua kufa kuliko kunyanyaswa kumbe ni wewe mwenyewe unatafuta sababu maksudi, ili yapatikane mapigano ufe, kwa kuwa unaamini kufa ni thawabu.
 
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
hiyo ni vita, kuna kupiga na kupigwa, ndio maana inaitwa vita. ila cha kuelewa ni kwamba, the entire hezbollah leadership command. kafuta wote kabisa, na hao waliobaki ni panya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…