Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Ukiuliza wakutajie mfalme au rais wa palestina watakutajiq ni arafat ambaye ni mzaliwa wa misri
Ukweli ni kwamba hakukuwahi kuwa na mfalme au rais wa palestina
Basi tuseme kwa kifupi hakuna kitu kinachoitwa wapalestina.umefurahi sasa?
 
 
Nimeona taarifa wamemla kichwa
Kweli. Duh! Sasa hii ni kufuru na ulafi wa vitendo vya Ku-eliminate magaidi vinavyotekelezwa na Mwamba -IDF. Ningekuwa mm ni mHezibollah; ningekimbilia fasta huko kusikajulikana.
 
Aisee nasikia commander mwingine wa juu huko Hesbollah tayari kashatangulizwa mbele za haki! Aisee huyu Myahudi atawamaliza hawa makamanda jamani.
Uzushi hiyo habari imekanushwa na Hezbollah Kamanda Haaj Ali Abu Rida mi mzima wa afya..
 
Ni kweli.

Hivi shida hapo ni nini, na unadhani suluhisho ni nini?

Hebu nieleze kwa kifupi kabisa.
Hapo suluhisho ni palestina awe na taifa lake na Israel abaki na taifa lake. Israel hataki anataka Palestina iwe ni kama kabila tu ndani ya Israeli. Yani utoke kwenye kuwa nchi ubaki kuwa mwananchi ndani ya Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…