Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Na samia atawashughulikia ipasavyo au vipi ??Magaidi? Wauawe tu. Hakuna kucheka na magaidi hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na samia atawashughulikia ipasavyo au vipi ??Magaidi? Wauawe tu. Hakuna kucheka na magaidi hata kidogo.
SemaTukwambie au tusikwambie?
Jeshi la mashoga linajulikanaMashoga 100 wa kiislamu?
Naona mmerithishwa uongo na hao mashogaAmeshaliwa kichwa yakhe
Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa
Saudia anazitaka za nini na yeye ndo mwenye dini ya haki. Kila mwaka anaokota pesa za mahujaji? Houth walimsumbua sana Anataka ajiimalishewww.jamiiforums.com
Wewe ni "Keyboard warrior" wa wapi?Huyo ni Keyboard Warrior wa Jamii Forums. That's all.
Basi tuseme kwa kifupi hakuna kitu kinachoitwa wapalestina.umefurahi sasa?Ukiuliza wakutajie mfalme au rais wa palestina watakutajiq ni arafat ambaye ni mzaliwa wa misri
Ukweli ni kwamba hakukuwahi kuwa na mfalme au rais wa palestina
Magaidi? Magaidi ni kuwakamata au kuwauaNa samia atawashughulikia ipasavyo au vipi ??
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Labda kama anazungumza mwenyewe. Hakuna anaetaka mazungumzo na Israel . Netanyahu anatumia loophole ya mazungumzo kupunguza presha ya Wananchi wake ambao Wana hasira nae balaa
La kiislamu?Jeshi la mashoga linajulikana
Kweli. Duh! Sasa hii ni kufuru na ulafi wa vitendo vya Ku-eliminate magaidi vinavyotekelezwa na Mwamba -IDF. Ningekuwa mm ni mHezibollah; ningekimbilia fasta huko kusikajulikana.Nimeona taarifa wamemla kichwa
Aisee nasikia commander mwingine wa juu huko Hesbollah tayari kashatangulizwa mbele za haki! Aisee huyu Myahudi atawamaliza hawa makamanda jamani.😂😂 wakimuua anateuliwa mwingine Tena. Kila mtu anaitamani hiyo nafasi
Uzushi hiyo habari imekanushwa na Hezbollah Kamanda Haaj Ali Abu Rida mi mzima wa afya..Aisee nasikia commander mwingine wa juu huko Hesbollah tayari kashatangulizwa mbele za haki! Aisee huyu Myahudi atawamaliza hawa makamanda jamani.
Ni kweli.Mkuu mzozo wa palestina na Gaza naona unauelezea kwa juu juu ni Aidha haujui au hautaki kujuwa chanzo cha huu mgogoro. Na huu mzozo haujaanza Oktober 7 kama unavodhani.
Hapo suluhisho ni palestina awe na taifa lake na Israel abaki na taifa lake. Israel hataki anataka Palestina iwe ni kama kabila tu ndani ya Israeli. Yani utoke kwenye kuwa nchi ubaki kuwa mwananchi ndani ya Israel.Ni kweli.
Hivi shida hapo ni nini, na unadhani suluhisho ni nini?
Hebu nieleze kwa kifupi kabisa.
Walimfanyia ugaidi mama yako na wewe kwenye makalio yenuMagaidi? Wauawe tu. Hakuna kucheka na magaidi hata kidogo.