Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #21
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.Ila tulisema kuwa Hassan Nasrallah yupo salama. Naona sasa tumekubali kuwa ameuawa. Na sisi hatuna msimamo.
Haina shida! Akiitakia amani Israel atapewa amani. Lau, akitaka vita mayahudi wanapenda vita haoo! Wanaijua vita waleee! Achague mwenyewe.Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Mkishazidiwa ndio huwa mnaleta maneno ya kujifariji kama haya solution ni Acheni Ugaidi.Kufa siyo ajabu kwani wewe hautakufa au unadhani Netanyahu ataishi milele?
Huyu hana hata miezi 2 atamfuata kiongozi wao!Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Hakuna anayesema ataishi milele. Hata kama unajua utakufa sidhani kama umewahi enda simama gari ikugonge. Ukiishi kwa Upanga utakufa kwa Upanga. Anyway tuendelee kuwafariji wafiwa. Ayatollah amefichwa anaogopa kufa.Kufa siyo ajabu kwani wewe hautakufa au unadhani Netanyahu ataishi milele?
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Unakataa teuzi? Unaidhalilisha mamlaka? Hutobaki salama.Ningekua mm nakataa kwakua nauliwa na mtoa roho!! Israel peleka moto kweli kweli mpk wakubali.sema raha kuwahi bikra 70.
All the best
Ashaandika wosia?Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Watu dhalimu wote LAZIMA waiondoke dunia hii. Next Putin! Ahahahahaha!!Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Kashaandika mpaka atakae mrithi. Bampa to bampa yaniAshaandika wosia?
R.I.H in Advance!Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Mpaka anaondoka atakua kashakula vichwa vya kutosha.R.I.H in Advance!
Uzur Allah yeye ni kuandaa bikira. Muda sio mrefu nae wanaeKatika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Vitani unabadilisha strategy unaendelea mbele madhaifu Yao siyo wao tu wanayajua hata sisi tunayajua. Kwani wewe hujui kwanini Israel anatamba uwanja wa vita? Hautakiwi kurudi nyuma ukirudi unampa adui ushindi. Hezbollah wapo vizuri sana ila wamezungukwa na ma spy wa Israel ambao ni wenzao lakini pia Israel anasapoti kubwa ya fedha na silaha za teknolojia ya juu kutoka marekani. Hapa juzi wameongezeka Dola Bilioni 8 kwahiyo ni kwamba jamaa wanapambana na jabali tuwape hongera wanajitahidi sana hawapaswi kukatishwa tamaa.Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Hapo sawa. Asubirie tu kuharakishwa kupewa mabikira 72 na kunywa mvinyo mtamu kutoka kwenye mito inayotiririsha mvinyo huo! Ahahahahaha!!!Kashaandika mpaka atakae mrithi. Bampa to bampa yani
Al Jazeera nmeangalia sijaona. Israel washenzi wale wanakupiga wananyamaza wanakuacha mwenyewe ulie... Ila safari hii wameamua hasa. Irani anasemaje mpaka sasa?au bado ana unya unya tu? Maana Netanyau kasema hakuna sehemu wao hawawezi fika ndani ya IraniHezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Amesha jifia while anaishi hatari sanaKatika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630