Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kweli kabisa! Hii ni point. Nitakishawishi chama changu kiichukue hii hoja.Sahihi kabisa
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni, watoto wao wapatiwe chakula bure ili kudhibiti tatizo za utoro pamoja na udumavu kwa wanafunzi.
Mkiuu sio chakula tu alikuwa anamaaana ubwabwa, mpunga sio kuwaiha dona.
Mzee wa ubwabwa asijidai hasikii ndugu zake wakipopolewa mawe,akawasaidie kutoa majibu ya hoja wanazoshindwa kuwajibu raiaMwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni, watoto wao wapatiwe chakula bure ili kudhibiti tatizo za utoro pamoja na udumavu kwa wanafunzi.
Kwa hiyo hauoni umuhimu wa watoto na wagonjwa kupewa chakula? Mbona CDM wametangaza ubwabwa wa bure kwa watakao hudhuria kesi ya Lissu?Na yeye atoe chakula mapema kwa ile misukule yake ya G55, kabla haijamyonya damu na kumuua.
Wapi nimesema hakuna umuhimu wa watoto na wagonjwa kupewa chakula!Kwa hiyo hauoni umuhimu wa watoto na wagonjwa kupewa chakula? Mbona CDM wametangaza ubwabwa wa bure kwa watakao hudhuria kesi ya Lissu?
Amandla...
😀😀😀😀😀😀Sahihi kabisa
Mbona unashindwa kujibu swali? Sijasema umesema bali nimekuuliza kama unaona umuhimu wa watoto na wagonjwa kupewa chakula. Kama unaona kuna umuhimu ungejibu ndio. Lakini unashindwa kujibu hivyo kwa sababu utathibitisha kuwa Chaumma wako sahihi.Wapi nimesema hakuna umuhimu wa watoto na wagonjwa kupewa chakula!
Na Yule Dogo Balozi Wa Nyumba Kumi Huko Mitaa Ya Wilaya Ya Mbozi,Mkoani Mbeya....Dogo Lucas Mashambwa...Sera ya akina chiembe hiiView attachment 3365385
Hahahaha😂😂😂Na YuleDogo Balozi Wa Nyumba Kumi Huko Mitaa Ya Wilaya Ya Mbozi,Mkoani Mbeya....Dogo Lucas Mashambwa...
Kwani ni lazima kujibu hilo swali lako?Mbona unashindwa kujibu swali? Sijasema umesema bali nimekuuliza kama unaona umuhimu wa watoto na wagonjwa kupewa chakula. Kama unaona kuna umuhimu ungejibu ndio. Lakini unashindwa kujibu hivyo kwa sababu utathibitisha kuwa Chaumma wako sahihi.
Amandla...
Sio lazima.😃 Ila kutokujibu ni kujibu.Kwani ni lazima kujibu hilo swali lako?