Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Povu likishapoa yafaa ujibu hoja kwa kutuwekeae kapicha japo kamoja ka kiwanda
 
Wakimuonesha kiwanda hata kimoja Hashimu Rungwe nitawaona wana maana sana.
 
Mkuu hili povu lote si ungelitimia kuonyesha kiwanda kimoja tu?
 
Viko wapi ?
Shida nchi hii ina vilaza wengi wa siasa. Ingia google tafuta viwanda vilivyojengwa 2016 - 2018 kwa mkoa wa dsm tu. Usiende pwani na mikoa mingine. Dsm tu. Na nikukumbeshe tu kiwanda cha gsm magodoro ni zao hilo hilo la miaka hiyo.
 
Miongoni mwa watu walimjaza Hayati ujinga upo kwenye hilo kundi, unaamini katika shida tu kwa kigezo cha kujenga.
Nyinyi ndio mliomkabdhi Magufuli akili zenu mkabaki na mafuvu tu madhara yake mkampa kichwa kuwa ili uendelee ni lazima uwe na shida kubwa na kuwamyima Watumishi wako haki zao za msingi kumbe huo ulazima haupo.
Hoja hii ni ya kijinga mno, hebu fikiria huyo aliyekataa kupandisha mishahara aliajiri watumishi wangapi wa afya au hata walimu? Huyu aliyepandisha mshahara kaajiri Walimu wangapi na wa afya wangapi na je hajajenga madarasa na vituo vya afya?
 
Lete picha za kikwete akizindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi! Huyo zungukuku wako hana lolote!,,,,,
Kwani mradi wa mabasi ya mwendokasi ulianza kujengwa lini na nani akiwa serikali? Au hata hiyo terminal 3 ilianza kujengwa lini?
 
Miongoni mwa dhambi kubwa sana CCM wameitenda na Mungu atawaadhibu kwa hili ni kitendo chao cha kutomuambia ukweli Hayati Magufuli.
CCM ni kundi la watu wa motoni kabisa, wakiwa wanajua Mwenzao anapuyanga, na haki za watu kuishi zinadhurumiwa hadharani, wao waliamua kumsifia kwa kila jambo. Miongoni mwa watu wanaostahili adhabu ni Wazir wa viwanda katika utawala wa Hayati, akiwa anajua bado hakuna viwanda, huyu mtu aliamua kusimama hadharani na kuutangazia ulimwengu kuwa tuna viwanda zaid ya 100 kila wilaya...kibaya zaid akashangiliwa ndani ya Bunge tukufu.
Lala salama Magufuli, ulipata bahati mbaya sana ya kuishi na kundi la wanafiki na wewe ukashindwa kugundua mapema.
Mim siwezi kumlaumu Hayati hata kwa bahati mbaya kwakuwa hawezi kunijibu, ila hawa wahuni walioko hai Mungu aingilie kati tu kama aliyofanya kwa wale wa kabla yetu.
 
Kwani Magufuri ndiye alikuwa anajenga hivo viwanda?au yeye alikuwa akiamashisha wawekezaji wawekeze ktk ujenzi wa viwanda,kitu ambacho alifanikiwa ingawa ameacha havijaanza kufanya kazi
Kwa hiyo miaka 6 alihamasisha vikajengwa 3? 😆😆😆😆

Mbona mama kahamasisha na Sasa kuna ma mia ya viwanda yanajengwa? Mtu wenu alikuwa dishi yule👇





 
Ahsante mzee Rungwe, yaani tulikuwa mazoba kweli. Viwanda vinafunguliwa mara mbili mbili. Tumeona viwanda alivyofungua Kikwete vinafunguliwa tena. Kweli tuonyesheni viwanda vilivyojengwa na Magufuli
 
Jjbu hoja za mzee rungwe Acha kupuyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…