..
Kwaio kile kiwanda cha ngozi cha magereza kule kwa shemeji zangu Moshi alijenga Rungwe?
Kiwanda cha Sare za Jeshi kurasini, kiwanda cha maji JKT?
Na hivi vyote vinafanya production.
Km hamna taarifa ni bora mue mnakaa kimya.
1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
SOURCE: Boya hapa.Kiwanda cha viatu cha Gereza Kuu Karanga, Moshi kilizinduliwa rasmi Juni 3, 1977 na Rais wa awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu, Julius Kambrage Nyerere.
Maji yanazalishwa na SUMA JKT kampuni ambayo ipo kabla hujatoka Kolomije na kuingia mjini!!2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
Kipo sehemu gani3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Sijaupita, kwahiyo acheni uongo!Nimesoma uzi wote lakini huu ujumbe kenge wa bluu "vyeti feki, watumbuliwa kazi na mafisadi waliokuwa wamezibiwa mianya ya madili na Mwamba JPM" wameupita kama vile vipofu![]()
![]()