Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648
Na bado watu watafunguka ukweli utajulikana vizuri. Tulipumbazwa.
 
Alianza na viwanda vidogo vidogo ambapo aliwawezesha vijana na wanawake katika mikopo na alifanikiwa ktk hili.
Kingine alikua anaweka miundombinu ya Umeme na Usafirishaji sawa ili awashawishi wawekezaji wa nje
 
Kuna wajingawajinga hapa wanabishana na Mzee Rungwe na hawana hoja kabisa. Mbona hamtaji hivyo viwanda, kuna huyo kataja tarehe na eneo ila hajui hata hicho kiwanda kilikuwa cha nini. Magufuli alijenga viwanda gani vya serikali?
Kwenye uchumi wa kibepari, Serikali haijengi viwanda ila huandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji kuvijenga, ila inaweza kushiriki kama sehemu ya ubia tu.
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Mamluki wa meko mna kazi sana
 
Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!

Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.

Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.

Tanzania ya Viwanda bila hata kiwanda legacy ni matope
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Ngoja tukupakulie wali nyama upunguze njaa.
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Wewe ni mlemavu wa akili. Kwahiyo mtu kusema UKWELI amepoteza sifa ya kuitwa Babu... Mzee Rungwe ni msema Kweli daima
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648
Japo mie sikuwa namuunga mkono Magu,lakini kwakuwa amefariki siungi mkono kabisa kumlaumu
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Sukung gangus(singular)
 
Ajira Bila Viwanda.. Wala Vyanzo vya Mapato kazi kununua Vitu Nje ndio itakuwa Ajira
We unafikiri viwanda ni kufokea fokea watu na kuzungumza zungumza kuhusu viwanda eti tayari umeshajenga. Jpm kajenga kiwanda gani zaidi ya kufoka na kutisha tu. Subiri wenye hekima na busara na akiri ndo wanaweza kuinua hii nchi. Kwa jpm nchi ilipatwa
 
Sio TISS tu wasukuma wako kila idara kwa wingi sana! Mfano angalia mamlaka za mahi mimi yote Tanzania hata Tanroads hapo wasukuma ndo wengine zaidi! Kwa kweli wapunguzwe!
Mzee fanya kazi utakufa ni kihoro kwa chuki zako juu ya Wasukuma!!!

Eti Magu alijaza Wasukuma TISS, kamuulize JK kuhusu hilo!!

Na kwa Taarifa tu huko Tanroads na maeneo mengine ya Kihandisi na Sayansi utakutana nao sana nenda Mhimbili, nenda Bugando au Taasisi yoyote ya Serikali na binafsi hutawakwepa!!!

Eti wapunguzwe Gombea na wewe ufanye kazi hiyo!!!

Kikubwa zaidi nenda kawafukuze vyuoni ndiyo utafanikisha ajenda yako ya kikuda!!! Tofauti na hapo Wasukuma bado uko nao sana!!!
 
TISS amejaza WASUKUMA balaa, nasikia ilifika kipindi akikutana nao ikulu wanaongea kilugha chao. Yaani mama asafishe hizo idara ziwe kama zamani.
Aliwezaje kujaza wasukuma while DG wa TISS ni mchaga wa kilimanjaro?
Unaweza kudhibitisha hao wasukuma uliokutana nao Ikulu ni TISS while wale walinzi wake wa 4 akiwemo mnikulu wake hawakua wasukuma?
Yani unajaza ndugu zako while wanaokulinda daily sio wasukuma?huu sasa utakua ubwege.
 
Nani kakwambia DGIS ana mamalaka ya kuajiri kwa kiwango hiko??

Walinzi wake unaona karibu wote alipewa wakati anateuliwa na CCM kule DODOMA.

Unataka ushahidi upi wa wasukuma kujaa TISS au Kuongea nao KISUKUMA??
 
Back
Top Bottom