DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Uchumi wa kati we unakusaidia Nini wakati ajira hamna Pesa hamna Ni Upuuzi kusifu ujingaLakini Tanzania iliingia uchumi wa kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi wa kati we unakusaidia Nini wakati ajira hamna Pesa hamna Ni Upuuzi kusifu ujingaLakini Tanzania iliingia uchumi wa kati
Hivyo alivyo vitaja vyote Marehemu kavikuta,vingine kaviuaMtu yuko huko mpwapwa atajua kuwa mkoa wa pwani kuna viwanda vingi sana vingi vimejengwa wakati wa JPM wanakalia sasa uchwara za huyo babu!
Wewe wadanganye ambao hawajui! Hakuna kiwanda kimekufa wakati wa Magufuli hata kiwanda cha kuzalisha mita za umeme kimeanza kazi 2018 kipo hapo Pwani! Wawekezaji uchwara ndo walikimbia!Hivyo alivyo vitaja vyote Marehemu kavikuta,vingine kaviua
Uchumi wa kati we unakusaidia Nini wakati ajira hamna Pesa hamna Ni Upuuzi kusifu ujinga
Wewe Kama unakaa huko ccm unasubiri pesa za bure huwezi kuona PesaSaizi vipi kuna hela? Na huyo bibi yenu? Katangaza ongezeko la mshahara subirini July ndo mtapata majibu!
Rhino cement Mkuranga (kisemvule) pale limebaki gofu kimefungwa toka 2018 mpaka muda huu.Wewe wadanganye ambao hawajui! Hakuna kiwanda kimekufa wakati wa Magufuli hata kiwanda cha kuzalisha mita za umeme kimeanza kazi 2018 kipo hapo Pwani! Wawekezaji uchwara ndo walikimbia!
Kuweka maoni yake hadharani ndio kudhalilisha wazee wenzake!. Uhuru wa demokrasia una gharama zake na mojawapo ni hii ya kuvumilia kusikia kile usichokipenda.Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Si mliambiwa hata fundi cherehani Khamis ni kiwanda au mnajisahaulisha? 😛Kwenye hii comment sijaona mahali umeonesha kiwanda alichojenga Magufuli. Wakati ule tuliambiwa vimejengwa viwanda 3000, viko wapi?
Alikuwa a despotic dictator.Kweli kabisa, alisimamisha ajira kwa miaka sita, lakini rekodi zinaonyesha alikuwa anajaza watu wa Chato katika usalama(bila shaka mama atawaondoa) na nafasi nyeti serikali.
Na alofanya hivyo ili aendeleee kuwaita wanyonge. Maana bila neno wanyonge alikua hana cha maana cha kuongea.Kiufupi ni kwamba Magufuli aliwatengenezea umasikini mkubwa wananchi,
Alichofanikisha kwa 100% ni kuwaruhusu machinga wapange bidhaa barabarani na kwenye round about za miji
Alifeli sana
Wajinga ninyi.Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Kinaitwaje....?Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Usafishaji mama kauanza muda Sana. Hata wale wahutu aliowakodisha toka Burundi ili wamlinde mama kawatimuaTISS amejaza WASUKUMA balaa, nasikia ilifika kipindi akikutana nao ikulu wanaongea kilugha chao. Yaani mama asafishe hizo idara ziwe kama zamani.
Ajira zilikiwepo bwana sema si kwa wingi! Hata sasa ajira ni zile zile si nyingi!Alikuwa a despotic dictator.