Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Nilipomuona anavyojikanyaga wakati wa campaign za uchaguzi nikagundua ni ziro IQ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna singular na plural, basi nimeelimika Leo!Sukung gangus(singular)
Km DG wa TISS ambae ni mchaga hakua na mamlaka ya kuajiri then nani aliekua na mamlaka hayo?Nani kakwambia DGIS ana mamalaka ya kuajiri kwa kiwango hiko??
Walinzi wake unaona karibu wote alipewa wakati anateuliwa na CCM kule DODOMA.
Unataka ushahidi upi wa wasukuma kujaa TISS au Kuongea nao KISUKUMA??
Mnyaazi Mungu.Heee hii sasa. Anasema Bila nani kuingilia kati....
Huo ndio ukweli ,onyesheni kiwanda acheni kupiga kelele
Lawama kwa dikteta hazitakoma. Hitler, Mobutu, Idd Amini walikufa kitambo sana mpk leo wanalaumiwaJapo mie sikuwa namuunga mkono Magu,lakini kwakuwa amefariki siungi mkono kabisa kumlaumu
Jiwe alikuwa mhuni. Alikuwa anazindua hata miradi iliyokwisha zinduliwa kabla. Mfano alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini DSM wakati rais Kikwete aliuzindua kabla
Sasa ww na cheti chako fake utaachaje kutoa lawama?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lawama kwa dikteta hazitakoma. Hitler, Mobutu, Idd Amini walikufa kitambo sana mpk leo wanalaumiwa
Kumuunga mkono jiwe kulihitaji uzuzu wa kiwango cha juu Sana. Ndiyo maana watu smart kama akina Kagame walistuka mapemaToka wakati ule Kagame alimdharau sana, na sikuwahi kumuona tena hapa nchini hata alivyofariki hakuja.
Acha uongo!, JPM alikuwa chuma haswa!, ili ujue alikuwa na akili sana yule mtu! Kwani mama alikuwa ziarani Tanga kipindi JPM anafari, viwanda alivyokuwa anafungua vilijengwa na huyo Rungwe?Sisi tunazungumza uongo wa magufuli aliyetawala kwa miaka mitano bila viwanda alivyokuwa akivitaja kila kukicha lakini utekelezaji zero. Mama mwaka mmoja ajira tele,mishahara juu, mikopo elimu ya juu nafuu na wanufaika wameongezeka maradufu, maelfu yä wafanyakazi wamepandishwa madaraja, mambo yä kpatana kiasi Cha kulipa ili kesi ifutwe na mkurugenzi wa mashtaka hakuna tena kitu hicho, mabenki yalikuwa taabani hayakuwa na fedha za kukopesha, basi yote hayo hamuoni kwamba nchi Sasa iko kwenye mikono salama bado tu mnamtaja Mtu ambaye alitutoa kabisa kwenye reli.
Unataka Rungwe aseme uwongo? Huyu mzee ni namba 2 kwa ukweli hapa Tanzania. Namba moja ni Jaji Warioba.Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Nayapinga vikali maneno ya wahenga eti "old is gold" hovyo sana mzee huyuNawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Kwa hiyo makalio yako ni uchumi?Uchumi wa kati ya makalio?
Huyo Azam unayemzunguzia Magufuri kampa aridhi kubwa mkuranga na Bagamoyo ya kulima miwa na kujenga kiwanda cha Sukari, Sasahivi kiko atua za mwisho,Samia yuko karibu kufanya uzinduziRhino cement ni kiwanda kilikuwapo tangu 2013 au 2014.
Usimhusushe Azam na sera zenu za viwanda FAKE kwani yeye yupo kwenye industry kabla hata Magufuli hajapata degree yake ya kwanza UDSM
Hukunielewa! Nilimjibu yule mjinga hicho kuwa wasukuma wafukuzwe maana wao hawataki kuwaona wasukuma wakiwa maofisini! Mi mwenyewe msukuma boss! Nilikuwa namjibu kwa kejeri hule bwana!Mzee fanya kazi utakufa ni kihoro kwa chuki zako juu ya Wasukuma!!!
Eti Magu alijaza Wasukuma TISS, kamuulize JK kuhusu hilo!!
Na kwa Taarifa tu huko Tanroads na maeneo mengine ya Kihandisi na Sayansi utakutana nao sana nenda Mhimbili, nenda Bugando au Taasisi yoyote ya Serikali na binafsi hutawakwepa!!!
Eti wapunguzwe Gombea na wewe ufanye kazi hiyo!!!
Kikubwa zaidi nenda kawafukuze vyuoni ndiyo utafanikisha ajenda yako ya kikuda!!! Tofauti na hapo Wasukuma bado uko nao sana!!!
Kagame anausmart gani?Kumuunga mkono jiwe kulihitaji uzuzu wa kiwango cha juu Sana. Ndiyo maana watu smart kama akina Kagame walistuka mapema
Nimekusoma ndgHukunielewa! Nilimjibu yule mjinga hicho kuwa wasukuma wafukuzwe maana wao hawataki kuwaona wasukuma wakiwa maofisini! Mi mwenyewe msukuma boss! Nilikuwa namjibu kwa kejeri hule bwana!
Kwaio kile kiwanda cha ngozi cha magereza kule kwa shemeji zangu Moshi alijenga Rungwe?
Kiwanda cha Sare za Jeshi kurasini, kiwanda cha maji JKT?
Na hivi vyote vinafanya production.
Km hamna taarifa ni bora mue mnakaa kimya.
1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
SOURCE: Boya hapa.Kiwanda cha viatu cha Gereza Kuu Karanga, Moshi kilizinduliwa rasmi Juni 3, 1977 na Rais wa awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu, Julius Kambrage Nyerere.
Maji yanazalishwa na SUMA JKT kampuni ambayo ipo kabla hujatoka Kolomije na kuingia mjini!!2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
Kipo sehemu gani3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Sijaupita, kwahiyo acheni uongo!Nimesoma uzi wote lakini huu ujumbe kenge wa bluu "vyeti feki, watumbuliwa kazi na mafisadi waliokuwa wamezibiwa mianya ya madili na Mwamba JPM" wameupita kama vile vipofu![]()
![]()