Magu alimfukuza wenye vyet feki afu makonda kamwacha...
Kafukuza Walimu wenye vyet feki afu kawa acha wanafunzi waliofundishwa na wenye vyeti feki.
Kafukuza manesi nk kawa acha wagonjwa waliotibiwa na wenye vyeti feki....
Unyanyasaji, na ujambazi wa kidola hausaidii taifa kuendelea. Maendeleo ni kwa ajili ya watu. Huwezi kuwapuuza watu na kuwanyima haki kwa kisingizio uchwara Cha kuleta maendeleo. Mwache mama arekebishe taifa lipate pa kuanzia.Kuna vitu watu weusi tunatakiwa tujue
Wengi wetu wanapenda maisha Mazuri
Wanashindwa kutambuwa maisha Mazuri uletwa Na maendeleo ya vitu kwanza
Kwasababu vitu ndivyo vitakavyo kufanya upande maendeleo au vitu ndivyo vinaleta maendeleo ya watu
Hivi Kuna faida gani ya kuwa Na mshaara mkubwa uku auna Soko , au barabara?
Alicho kuwa Na kifanya magufuli kwangu nilimpa big Up wa Africa ina bidi tujitese kwanza ili tulete maendeleo ya vitu yaani tubane matumizi
Kwa kutumikisha pesa kiujinga ujinga kupandisha mishaara uku pesa za kujenga hospital tuna zikosa
Maendeleo ya vitu ndo Yana pandisha uchumi wa inch Na kuleta maendeleo ya watu
Ingia google utafute ukweli wa hivyo viwanda... Ni aibu kutuandikia uongo mkuu kiasi hiki !!Jamani kiwanda cha Magerza Moshi sikilijengwa na kufunguliwa na JPM! Viwanda hapo kibaha vingi tu! Au mzee anamaanisha cha kwake Magufuli!?
Na. | Wilaya | Idadi ya Viwanda vikubwa na vyakati |
| 1 | Ilala | 52 |
| 2 | Temeke | 51 |
| 3 | Kigamboni | 5 |
| 4. | Ubungo | 14 |
| 5 | Kinondoni | 35 |
Jumla | 157 |
Na | WILAYA | JINA LA MRADI WA KIWANDA | BIDHAA ZINAZOZALISHWA | MAHALI UNAPOTEKELEZWA (KATA/MTAA) |
ILALA | ||||
1 | Colourflex & Coating Ltd | Kutengeneza Rangi | Nyerere Rd Reg 138606 | |
2 | Colourflex&Coating Ltd | Kutengeneza Rangi | Nyerere Rd Reg 138606 | |
3 | Said Salim Bakhersa& Co Ltd | Food Processing | Pugu Industrial Area Reg 9420 | |
4 | Jia Xiang Co Ltd | Textile | Vingunguti | |
5 | Al Hudah Manufacturing Ltd | Bidhaa za Plastic | Kipawa Industrial Area | |
6 | Chemi (T) Ltd | MatofalinaVigae (Tiles) | Tabata | |
7 | BTY Company Ltd | Recycle Plastic Materails | Buguruni | |
8 | BTY Company Ltd | Lead from recycling Batterie | Buguruni | |
9 | Uhuru Plastics Ltd | Vyombo vya Plastiki | Kiwalani | |
10 | Unoplastic (T) Ltd | Plastic Containers &Packaging | Nyerere Road Ind Area | |
11 | Azania Polybags Ltd | Plastic Containers | Nyerere Road Ind Area | |
12 | Afriweld Industries Ltd | Welding rods | Nyerere Road Ind Area | |
13 | Ace Outomotive (T) Ltd | Motor cycle | Vingunguti | |
14 | Atlantic Metal Ltd | Aluminium Stainless steel | Nyerere Road Ind Area | |
15 | Atlantic Metal Ltd | Aluminium Stainless steel | Nyerere Road Ind Area | |
16 | Qingdao Instalation& Construction Tz Co Ltd | Building Materials | Nyerere Road Ind Area | |
17 | Yalin Global Co Ltd | Roofing Materials | Tabata Matumbi | |
18 | Zad Investment Ltd | Snacks | Vingunguti | |
19 | Silk Paint Co Ltd | Paints | Nyerere Road Ind Area | |
20 | Pugu Nails Wire Ltd | Fencing wire ,Wire Mesh, Nails | Pugu Mwakanga | |
21 | Esma Industreis Ltd | Washing Soap | Nyerere Road Ind Area | |
22 | Pharmaceutical washing soap | Washing Soap | Nyerere Road Ind Area | |
23 | Tropical Aluminium and Glass Industries Ltd | Aluminium fabrication,Glass | Mandela Road | |
24 | Yuanashi Motorcycle (TZ )Ltd | Motorcycle Assembly | Vingunguti | |
25 | S.H Afriq (T0 ) Ltd | Artificial Human Hair | Buguruni | |
26 | Speedy Prints Ltd | Corrugated paper bags | Kipawa | |
27 | Eco Plastic Ltd | PVC Pipes ,HOPE Pipes, Gutter system | Pugu Mwakanga | |
28 | Power Recyclers (T) Ltd | Lead ingotys, Plastic Wastes | Vingunguti | |
29 | Heng Da Development (T) Co Ltd | Chair, Plates ,Starch | Vingunguti | |
30 | Lotus Essential Ldt | Petroleum Gel body cream | Nyerere Road Ind Area | |
31 | Eclectic International PV (T) | Biscuits | Nyerere Road Ind Area | |
32 | Spicast Engineering Ltd | Spare parts | Vingunguti | |
33 | Kamal EKC Industries Ltd | Gas cylinder, Gas Accessories | Chang,mbeIndustial area | |
34 | Shimiyu one Investments Ltd | Plastic packaging | Mandela Raod | |
35 | Pioneer Luggage Co Ltd | Leather products | Tabata | |
36 | Africa Kitchen Co Ltd | Aluminum Kitchen | Vingunguti | |
| 37 | Sisco Africa Investment Ltd | Corrugated Iron, Roofing sheets, Nails | Nyerere Road | |
38 | Candyman Ltd | Hard Boiled Candies, Lollipops and Bubble gums | Nyerere Road | |
39 | Crown Paints (T) Ltd | Paints | Nyerere Road | |
40 | Xin He Co Ltd | Leather Products | Nyerere Road | |
41 | Avestuk Ltd | Napkins Wet Tissue | Vingunguti | |
42 | MJM Industrial Supplies Ltd | Platic Products | Buguruni | |
43 | Dolin Investment Co Ltd | Plastic Foot wear | Kiwalani | |
44 | Mengi Qi Tanzania Cables Ltd | Cable | Nyerere Road | |
45 | Murzar Wilma East Africa Ltd | Vegetable oil | Nyerere Road | |
46 | Murzar Wilma East Africa Ltd | Detergent powder,laundry | Mandela Road | |
47 | Yue Da Co Ltd | Plastic Shoes | Gerezani | |
48 | Kamaka Co Ltd | Steel pipes | MwakangaInd Area | |
49 | Yelin International Group Co Ltd | Iron Roofing Sheets ,Steel bars | Nyerere Road | |
50 | Pandalia Group (T) Ltd | Plastic house hold | Nyerere Road | |
51 | AutoBot Magic Industrial Co Ltd | Motor vehicle parts | Nyerere Road | |
52 | Sika Tanzania Construction Chemicals Ltd |
Ni kupaka upya rangi na kubadili jiwe /kibao Cha ufunguzi. Kuna kisima Cha maji Cha mwaka 1958 kilipakwa upya rangi na kuzinduliwa na kiongozi Fulani miaka ya karibuni. Ni maigizo na ngonjera !!!!!Jiwe alikuwa mhuni. Alikuwa anazindua hata miradi iliyokwisha zinduliwa kabla. Mfano alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini DSM wakati rais Kikwete aliuzindua kabla
Usiwe mjinga mkuu, nachokuombea, basi Mungu akupe na wewe nafasi ya kuacha kitu kwa jamii utakayoiacha, siyo hizi braah braah mkuuNi kupaka upya rangi na kubadili jiwe /kibao Cha ufunguzi. Kuna kisima Cha maji Cha mwaka 1958 kilipakwa upya rangi na kuzinduliwa na kiongozi Fulani miaka ya karibuni. Ni maigizo na ngonjera !!!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hitler, nduli Amin, bokassa, nk bado wanakumbukwa !!!JPM atabakia midomoni mwao, watapiga domo hadi washangae ila hatuji kupata kiongozi kama yule. Hili taifa linahitaji kuendeshwa kwa mkono wa chuma.
Ni afadhari yeye kafanya hata kwa kile unachpkidharau kabisa, lakini wewe kipi sasa, kuponda waliofanya hata kwa kiduchu?Jiwe alikuwa mhuni. Alikuwa anazindua hata miradi iliyokwisha zinduliwa kabla. Mfano alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini DSM wakati rais Kikwete aliuzindua kabla
Heri kuwa mjinga kuliko....Usiwe mjinga mkuu, nachokuombea, basi Mungu akupe na wewe nafasi ya kuacha kitu kwa jamii utakayoiacha, siyo hizi braah braah mkuu
Hatari na ni ukweli usiopingika Mungu aliwaonea huruma Watanzania kama Wanaisrael kule Misri farasi na wapanda farasi wote chali *****.Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Kwa wajinga atakaa kimya kwa warevu Mzee Rungwe yuko sawa 100%Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Vyeti feki alishalala Chato.Hashim Rungwe ni sehemu ya vyeti feki 🇹🇿. Mpuuzeni.
Apuuzwe na Sukuma gang Watanzania wengi twaheshimu mawazo yake.Rungwe ni sehemu tu ya wazee wengi wapumbavu ktk nchi yetu. Apuuuzwe.
Yule jamaa alitufanya watanzania kuwa mazuzu Sana. Ndiyo God akaingilia katiNi kupaka upya rangi na kubadili jiwe /kibao Cha ufunguzi. Kuna kisima Cha maji Cha mwaka 1958 kilipakwa upya rangi na kuzinduliwa na kiongozi Fulani miaka ya karibuni. Ni maigizo na ngonjera !!!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hakuna hata hicho kiduchu alichokifanya jiwe. Kipi??????!Ni afadhari yeye kafanya hata kwa kile unachpkidharau kabisa, lakini wewe kipi sasa, kuponda waliofanya hata kwa kiduchu?
Tulikuwa tunaenda kubaya sanaHatari na ni ukweli usiopingika Mungu aliwaonea huruma Watanzania kama Wanaisrael kule Misri farasi na wapanda farasi wote chali *****.