Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Magu alimfukuza wenye vyet feki afu makonda kamwacha...
Kafukuza Walimu wenye vyet feki afu kawa acha wanafunzi waliofundishwa na wenye vyeti feki.
Kafukuza manesi nk kawa acha wagonjwa waliotibiwa na wenye vyeti feki....

Yeye mwenyewe alimpoteza Ben Saa 8 kwa kuhoji PhD yake.
 
Aiseee nimesikitika sana kukikosa kipicha Cha Rungwe na Odemba.

Mwenye link atuwekee hapa kabla "MISUKULE ya CHATO" haijaja.
 
Inasikitisha sana... Ina maana zile cherehani nne hakuziona au ni ujeuri tu...

Yule waziri alivyokua anazitangaza zile cherehani nne kama kiwanda, nadhani Magufuli alicheka sana...
 
Kuna vitu watu weusi tunatakiwa tujue
Wengi wetu wanapenda maisha Mazuri
Wanashindwa kutambuwa maisha Mazuri uletwa Na maendeleo ya vitu kwanza
Kwasababu vitu ndivyo vitakavyo kufanya upande maendeleo au vitu ndivyo vinaleta maendeleo ya watu
Hivi Kuna faida gani ya kuwa Na mshaara mkubwa uku auna Soko , au barabara?
Alicho kuwa Na kifanya magufuli kwangu nilimpa big Up wa Africa ina bidi tujitese kwanza ili tulete maendeleo ya vitu yaani tubane matumizi
Kwa kutumikisha pesa kiujinga ujinga kupandisha mishaara uku pesa za kujenga hospital tuna zikosa
Maendeleo ya vitu ndo Yana pandisha uchumi wa inch Na kuleta maendeleo ya watu
Unyanyasaji, na ujambazi wa kidola hausaidii taifa kuendelea. Maendeleo ni kwa ajili ya watu. Huwezi kuwapuuza watu na kuwanyima haki kwa kisingizio uchwara Cha kuleta maendeleo. Mwache mama arekebishe taifa lipate pa kuanzia.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Rungwe apitie hizi viwanda kokote Kule aliko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia maji.

Vifuatavyo ni baadhi ya Viwanda vilizinduliwa na Mhe Rais kati ya mwaka 2017 na 2019


  1. kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani
  2. Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba,
  3. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani
  4. mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es Salaam.
  5. kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani.kiwanda cha kutengeneza matrekta URSUS kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
  6. .kiwanda cha Nondo cha Kilua Steel Group kilichopo Mlandizi mkoani Pwani.
  7. viwanda vya chaki na kiwanda cha usindikaji maziwa Simiyu
  8. Kiwanda cha kuchakacha mahindi Mlale – Ruvuma
  9. Kiwanda cha kusaga nafaka cha MeTL – Kurasini Dar Es Salaam
  10. Kiwanda cha Sayona – Mwanza
  11. Kiwanda cha Victoria Molders and polybags – Mwanza
  12. Kiwanda cha Prince Pharmaceuticals – mwanza
  13. Kiwanda cha Chai cha UNILEAVER Kabambe – Njombe
  14. Kiwanda cha Superdoll – Vingunguti Dar er Salaam
  15. Kiwanda cha Sigara cha Philips Moris International – Morogoro
Kila mtu na ukichaa chake, hata wewe hapo ulipo unaukichaa chako
 
VIWANDA VIPYA MKOA WA DAR ES SALAAM


Taarifa ya idadi ya viwanda vikubwa na vya kati vilivyoanzishwa katika kipindi cha Januari, 2016 hadi Machi, 2018 katika Mkoa wa

Dar es Salaam.


Na.
Wilaya
Idadi ya Viwanda vikubwa na vyakati
1Ilala
52​
2Temeke
51​
3Kigamboni
5​
4.Ubungo
14​
5Kinondoni
35​
Jumla
157


Orodha ya viwanda hivyo kwa kila Halmashauri imeambatishwa. Aidha orodha hii haihusishi viwanda vidogo vidogo kama ushonaji , uhunzi useremala usindikaji mdogo wa vyakula, utengenezaji wa batiki, ufyatuaji wa matofali n.k



Orodha ya viwanda vikubwa na vya kati vilivyoanzishwa katika kipindi cha Januari, 2016 hadi Machi 2018, katika Mkoa wa Dar es Salaam


Na
WILAYA
JINA LA MRADI WA KIWANDA
BIDHAA ZINAZOZALISHWA
MAHALI UNAPOTEKELEZWA (KATA/MTAA)

ILALA
1​
Colourflex & Coating Ltd​
Kutengeneza Rangi​
Nyerere Rd Reg 138606​
2​
Colourflex&Coating Ltd​
Kutengeneza Rangi​
Nyerere Rd Reg 138606​
3​
Said Salim Bakhersa& Co Ltd​
Food Processing​
Pugu Industrial Area Reg 9420​
4​
Jia Xiang Co Ltd​
Textile​
Vingunguti​
5​
Al Hudah Manufacturing Ltd​
Bidhaa za Plastic​
Kipawa Industrial Area​
6​
Chemi (T) Ltd​
MatofalinaVigae (Tiles)​
Tabata​
7​
BTY Company Ltd​
Recycle Plastic Materails​
Buguruni​
8​
BTY Company Ltd​
Lead from recycling Batterie​
Buguruni​
9​
Uhuru Plastics Ltd​
Vyombo vya Plastiki​
Kiwalani​
10​
Unoplastic (T) Ltd​
Plastic Containers &Packaging​
Nyerere Road Ind Area​
11​
Azania Polybags Ltd​
Plastic Containers​
Nyerere Road Ind Area​
12​
Afriweld Industries Ltd​
Welding rods​
Nyerere Road Ind Area​
13​
Ace Outomotive (T) Ltd​
Motor cycle​
Vingunguti​
14​
Atlantic Metal Ltd​
Aluminium Stainless steel​
Nyerere Road Ind Area​
15​
Atlantic Metal Ltd​
Aluminium Stainless steel​
Nyerere Road Ind Area​
16​
Qingdao Instalation& Construction Tz Co Ltd​
Building Materials​
Nyerere Road Ind Area​
17​
Yalin Global Co Ltd​
Roofing Materials​
Tabata Matumbi​
18​
Zad Investment Ltd​
Snacks​
Vingunguti​
19​
Silk Paint Co Ltd​
Paints​
Nyerere Road Ind Area​
20​
Pugu Nails Wire Ltd​
Fencing wire ,Wire Mesh, Nails​
Pugu Mwakanga​
21​
Esma Industreis Ltd​
Washing Soap​
Nyerere Road Ind Area​
22​
Pharmaceutical washing soap​
Washing Soap​
Nyerere Road Ind Area​
23​
Tropical Aluminium and Glass Industries Ltd​
Aluminium fabrication,Glass​
Mandela Road​
24​
Yuanashi Motorcycle (TZ )Ltd​
Motorcycle Assembly​
Vingunguti​
25​
S.H Afriq (T0 ) Ltd​
Artificial Human Hair​
Buguruni​
26​
Speedy Prints Ltd​
Corrugated paper bags​
Kipawa​
27​
Eco Plastic Ltd​
PVC Pipes ,HOPE Pipes, Gutter system​
Pugu Mwakanga​
28​
Power Recyclers (T) Ltd​
Lead ingotys, Plastic Wastes​
Vingunguti​
29​
Heng Da Development (T) Co Ltd​
Chair, Plates ,Starch​
Vingunguti​
30​
Lotus Essential Ldt​
Petroleum Gel body cream​
Nyerere Road Ind Area​
31​
Eclectic International PV (T)​
Biscuits​
Nyerere Road Ind Area​
32​
Spicast Engineering Ltd​
Spare parts​
Vingunguti​
33​
Kamal EKC Industries Ltd​
Gas cylinder, Gas Accessories​
Chang,mbeIndustial area​
34​
Shimiyu one Investments Ltd​
Plastic packaging​
Mandela Raod​
35​
Pioneer Luggage Co Ltd​
Leather products​
Tabata​
36​
Africa Kitchen Co Ltd​
Aluminum Kitchen​
Vingunguti​
37
Sisco Africa Investment Ltd​
Corrugated Iron, Roofing sheets, Nails​
Nyerere Road​
38​
Candyman Ltd​
Hard Boiled Candies, Lollipops and Bubble gums​
Nyerere Road​
39​
Crown Paints (T) Ltd​
Paints​
Nyerere Road​
40​
Xin He Co Ltd​
Leather Products​
Nyerere Road​
41​
Avestuk Ltd​
Napkins Wet Tissue​
Vingunguti​
42​
MJM Industrial Supplies Ltd​
Platic Products​
Buguruni​
43​
Dolin Investment Co Ltd​
Plastic Foot wear​
Kiwalani​
44​
Mengi Qi Tanzania Cables Ltd​
Cable​
Nyerere Road​
45​
Murzar Wilma East Africa Ltd​
Vegetable oil​
Nyerere Road​
46​
Murzar Wilma East Africa Ltd​
Detergent powder,laundry​
Mandela Road​
47​
Yue Da Co Ltd​
Plastic Shoes​
Gerezani​
48​
Kamaka Co Ltd​
Steel pipes​
MwakangaInd Area​
49​
Yelin International Group Co Ltd​
Iron Roofing Sheets ,Steel bars​
Nyerere Road​
50​
Pandalia Group (T) Ltd​
Plastic house hold​
Nyerere Road​
51​
AutoBot Magic Industrial Co Ltd​
Motor vehicle parts​
Nyerere Road​
52​
Sika Tanzania Construction Chemicals Ltd​
 
Jiwe alikuwa mhuni. Alikuwa anazindua hata miradi iliyokwisha zinduliwa kabla. Mfano alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini DSM wakati rais Kikwete aliuzindua kabla
Ni kupaka upya rangi na kubadili jiwe /kibao Cha ufunguzi. Kuna kisima Cha maji Cha mwaka 1958 kilipakwa upya rangi na kuzinduliwa na kiongozi Fulani miaka ya karibuni. Ni maigizo na ngonjera !!!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Babu Hashimu kwa sasa anamiaka mingapi?

Je, anapaswa kusikilizwa ama kupuuzwa?

Na kwa nini midia zinampa promo?

StarTv wapuuzwe sasa
 
Ni kupaka upya rangi na kubadili jiwe /kibao Cha ufunguzi. Kuna kisima Cha maji Cha mwaka 1958 kilipakwa upya rangi na kuzinduliwa na kiongozi Fulani miaka ya karibuni. Ni maigizo na ngonjera !!!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Usiwe mjinga mkuu, nachokuombea, basi Mungu akupe na wewe nafasi ya kuacha kitu kwa jamii utakayoiacha, siyo hizi braah braah mkuu
 
Jiwe alikuwa mhuni. Alikuwa anazindua hata miradi iliyokwisha zinduliwa kabla. Mfano alizindua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini DSM wakati rais Kikwete aliuzindua kabla
Ni afadhari yeye kafanya hata kwa kile unachpkidharau kabisa, lakini wewe kipi sasa, kuponda waliofanya hata kwa kiduchu?
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648
Hatari na ni ukweli usiopingika Mungu aliwaonea huruma Watanzania kama Wanaisrael kule Misri farasi na wapanda farasi wote chali *****.
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Kwa wajinga atakaa kimya kwa warevu Mzee Rungwe yuko sawa 100%
 
Ni kupaka upya rangi na kubadili jiwe /kibao Cha ufunguzi. Kuna kisima Cha maji Cha mwaka 1958 kilipakwa upya rangi na kuzinduliwa na kiongozi Fulani miaka ya karibuni. Ni maigizo na ngonjera !!!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Yule jamaa alitufanya watanzania kuwa mazuzu Sana. Ndiyo God akaingilia kati
 
Back
Top Bottom