Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Onesha kiwanda we pundaHuyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!
Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Ndipo tunapokosea call a spade a spade amesema ukweli wote. Huyu mzee mzuri sana.Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Kiwanda kikubwa mno ndo kiwanda gani?Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Asas alikuwa na viwanda vya maziwa siku nyingi eti Mwendazake alijifanya kwenda kuzindua 😂😂😂Mkuu kiwanda gani hicho kikubwa kilichofunguliwa Mkoa wa Iringa?
Acha uwongo na kushabikia vitu visivyo vya kweli
Ukiona Samia kainua mguu wake kwenda sehemu ujue kuna kitu cha maana anaenda kufanya ..Mzee wa ubwabwa naona kaamua kumwaga mboga, hii lazima uwaibue shimoni waandika legacy.
Awaondoe tu aweke Wazenji wenzie kwani shida iko wapi? Watanganyika watu wa ajabu sana wacha Royal Tour atufilisi tunachekelea tu na kuendelea kupambana na Magufuli ambaye hawezi kutujibu.Kweli kabisa, alisimamisha ajira kwa miaka sita, lakini rekodi zinaonyesha alikuwa anajaza watu wa Chato katika usalama(bila shaka mama atawaondoa) na nafasi nyeti serikali.
Enzi ya awamu ya 5 watz wengi walifilisika na masikini kuongezeka yule magu alifeli sanaAmesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Anasemaga eti mtu akishiba ndio anapata akili, anadhani akili zipo tumboni.Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!
Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Vilikufa kabla hajafa. Eti maji piga picha hata chupa yake tu.1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Hahahhaaaa!!!Serikali yangu imejenga viwanda zaidi ya elfu 3.ushuzi.Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
Cherehani ni kiwandaAmesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Serikali ya kibepari ndio ile ya Magufuli iliyokuwa inagawa tenda zote kwa taasisi za serikali. Hata mgambo nao ni kampuni ya serikali wanatumia Suma JKT, ubepari ulikuwa mbali na MagufuliKwenye uchumi wa kibepari, Serikali haijengi viwanda ila huandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji kuvijenga, ila inaweza kushiriki kama sehemu ya ubia tu.
Magufuli alikuwa 'mjamaa'.Serikali ya kibepari ndio ile ya Magufuli iliyokuwa inagawa tenda zote kwa taasisi za serikali. Hata mgambo nao ni kampuni ya serikali wanatumia Suma JKT, ubepari ulikuwa mbali na Magufuli
Serikal ilishaacha kujenga viwanda na kaz yakujenga viwanda imeachiwa sekta binafsi, kwa dunia yaleo kuna Raisi anayejenga viwanda?Kwaio kile kiwanda cha ngozi cha magereza kule kwa shemeji zangu Moshi alijenga Rungwe?
Kiwanda cha Sare za Jeshi kurasini, kiwanda cha maji JKT?
Na hivi vyote vinafanya production.
Km hamna taarifa ni bora mue mnakaa kimya.
yeye kasemea viwanda wewe unatiririka na ilani. walimu wana kazi sana aiseeDah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!
Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.
Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.