Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Desparate!
 
Mzee Rungwe ana IQ kubwa sana pengine kuliko hata ukoo au familia yako ..hebu jibu hoja zake achana na personal attack..!
 
CHAUMA Hoyee!
 
Sasa umechangia nini juu ya hoja ya Rungwe? Kwa uchangiaji huu, isije ikawa wewe hata wanao wataona shida kukuita Baba.

Wewe kama una ushahidi kuwa utawala wa Magufuli ulijenga japo kiwanda kimoja, kitaje, hapo utakuwa umemmaliza Rungwe. La sivyo kaa kimya, waache wenye hoja wajadili.
 
Mzee wa Ubwabwa
 
Tuoneshe kiwanda alichojenga Magufuli. Vinginevyo huna uhalali wa kumnanga mzee Hashimu Rungwe

Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!

Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
 
Mzee Rungwe ana IQ kubwa sana pengine hata ukoo au familia yako yako..hebu jibu hoja zake achana na personal attack..!
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
 
Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!

Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Hapo ndo umejibu hoja ya mzee? Onyesha kiwanda alichojenga Magufuli.
 
Sawa serikali ya samia itajenga na kuzalisha ajira mamilioni
Sisi tunazungumza uongo wa magufuli aliyetawala kwa miaka mitano bila viwanda alivyokuwa akivitaja kila kukicha lakini utekelezaji zero. Mama mwaka mmoja ajira tele,mishahara juu, mikopo elimu ya juu nafuu na wanufaika wameongezeka maradufu, maelfu yΓ€ wafanyakazi wamepandishwa madaraja, mambo yΓ€ kpatana kiasi Cha kulipa ili kesi ifutwe na mkurugenzi wa mashtaka hakuna tena kitu hicho, mabenki yalikuwa taabani hayakuwa na fedha za kukopesha, basi yote hayo hamuoni kwamba nchi Sasa iko kwenye mikono salama bado tu mnamtaja Mtu ambaye alitutoa kabisa kwenye reli.
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Acha uwongo. Hicho kiwanda kilijengwa na serikali? Kinaitwaje?

Jiwe alikuwa tapeli. Legacy ziiiiiiiiiiio!!!!!!!
 
Yule jamaa yenu hakuna mtu mwenye akili timamu hata mmja anamsemea vizuri πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…