Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hata james woods alitoa ya kipuuzi tena zaidi yako ila sasa hivi anajilizaliza ovyo kwenye tv kama shoga , huyo ndio mungu kaa kwq kutulia , alishaahidi kwa kusema, they planned and allah planned and indeed allah is the best of planners
Hatujawahi hata siku moja kuwaza kwamba netanyahu na vibaka wenzake watakuwa criminals under international law.
Hatujawahi kuwaza kama itafika siku matajiri wa california watakuwa homeless na kupewa misaada ya chakula na nguo barabarani
Hatujawi kuwaza hata siku moja kama israel watu watakuwa wanaishi kwa kujificha kisa makombora yanayoingia hadi airport ya bengurion ila leo yamewezekana
Hakuna kitu kinachoshindikana mbele ya mungu, leo makanisani marekani wqtu wamesali hadi kwa kusujudu ,wakati mungu kawapa very simple test
 
allah kiboko alipeleka tetemeko Turkey, mafuriko dubai, na Iran maana mishoga na misagwaji imejaaaa sana huko.
allah kapeleka kipondo gaza na kaacha hamas na hezbollah ipoteze viongoz wao tena kwa kuuliwa kibudu maana na wao walizidi sana kuwa mashoga na misagwaji.
 
Acha kujifariji kijinga hivyo wakati Hamas wanapigwa kwa Ugaidi wao wa Oct 07,2023 nyumba zitajengwa kwa mwaka mmoja tu,Misitu itapandwa mingine kwa miezi tu na mali zitatafutwa kwa hali yoyote ile. Huko Gaza watu 46,000 wameuwawa hao uhai wao mtaurudisha? Kuhusu uwanja wa Ben Gulion hata siku moja haujawahi kufungwa unafanya kazi kama kawaida. Na huhusu watu kwenda kwenye Basement wakati king’ora cha tahadhali kinapolia ni sawa hiyo ni Precoution wala haina shida maana ni kwa usalama wao harafu wewe Mmatumbi mwenzangu unalalamika acha ujinga wako!!
 
Sisi tumekaa tunaangalia tv watu wa california wanapewa chakula na nguo za misaada ,praise to god, hakika mungu ni wa haki, vipi utawachangia? Maana hawana insurance wale mbweha
 
Sisi tumekaa tunaangalia tv watu wa california wanapewa chakula na nguo za misaada ,praise to god, hakika mungu ni wa haki, vipi utawachangia? Maana hawana insurance wale mbweha
Bora hao Mbweha Serikali yao itawajalije wewe Nguruwe nani atakujali??
 
hizo ni akili za kijuha
 
Huu moto ungetokea Tanzania, saivi watu wangekua wanalaumu jeshi la zima moto na serikali yake. Haya sasa limetokea huko duniani ambako teknolojia ni kubwa kuliko huku kwetu.
Hiyo haibadilishi unaowatetea kuitwa wazembe na wavivu.
 
Nyie mtakuja kukamatwa
Kwenye keyboard herufi d na s zimekaribiana, naona alitaka kuandika Sodoma na Gomora.

Ila Dodoma nako kuna vituko kama Sodoma. Hususani wakati wa vikao vya bunge.
 
Mkuu tu direct source tukacheki wengine hatukuiona hiyo
 
Mkuu tu direct source tukacheki wengine hatukuiona hiyo
Hawezi kukupa Source ya UHARO huu maana jamaa anaongozwa na Chuki binafsi na marekani hivyo anajitahidi kuleta uongo ili tu aeneze chuki za kutosha dhidi ya marekani. Najiuliza yeye sijui itamsaidia nini!!
 
Hawezi kukupa Source ya UHARO huu maana jamaa anaongozwa na Chuki binafsi na marekani hivyo anajitahidi kuleta uongo ili tu aeneze chuki za kutosha dhidi ya marekani. Najiuliza yeye sijui itamsaidia nini!!
incharge tuhuma hizi ni zako tupe hiyo source ili kujisafisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…