Hata james woods alitoa ya kipuuzi tena zaidi yako ila sasa hivi anajilizaliza ovyo kwenye tv kama shoga , huyo ndio mungu kaa kwq kutulia , alishaahidi kwa kusema, they planned and allah planned and indeed allah is the best of plannersBasi mungu wenu atakuwa mjinga sana. Hata hivyo hiyo haisaidii kupunguza kipigo kwa magaidi wa Hamas walioua watu,wakabaka watu na kuteka watu Oct 07,2023. Hamas wataendelea kutwangwa mpaka warudishe mateka waliowateka bila hivyo mpaka waishe wote kabisa. Na hii vita haiishi mpaka Hamas wafutike!!!
Hatujawahi hata siku moja kuwaza kwamba netanyahu na vibaka wenzake watakuwa criminals under international law.
Hatujawahi kuwaza kama itafika siku matajiri wa california watakuwa homeless na kupewa misaada ya chakula na nguo barabarani
Hatujawi kuwaza hata siku moja kama israel watu watakuwa wanaishi kwa kujificha kisa makombora yanayoingia hadi airport ya bengurion ila leo yamewezekana
Hakuna kitu kinachoshindikana mbele ya mungu, leo makanisani marekani wqtu wamesali hadi kwa kusujudu ,wakati mungu kawapa very simple test