Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Nasikia baadhi ya mataifa Marekani au Urusi wana teknolojia ya kutengeneza mvua, vp wameshindwa kutengeneza mvua inyeshe ili moto uzimike?
 
Mungu aliupenda ulimwengu, Mungu ni Pendo.

Wewe unazungumzia Mungu gani anayekasirika
 
Naam, na Upendo wa Mungu ni wa milele ila Uhusiano wa upendo huo Kwa wanadamu akupatia mashariti.

Ukinipenda, utazishika amri zangu.
Mungu ni Pendo apenda wote, Mungu ni Pendo atupenda.

Mungu anatupenda bure bila masharti, tunachpzungumza ni Mungu kuwapenda watu siyo Watu kumpenda Mungu
 
Ukiwa na Upendo means huwezi kukasirika?
Ndiyo mkuu

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
 
Mungu ni Pendo apenda wote, Mungu ni Pendo atupenda.

Mungu anatupenda bure bila masharti, tunachpzungumza ni Mungu kuwapenda watu siyo Watu kumpenda Mungu
Ndio namm nakuambia, Mungu ni pendo ,akamtoa Mwanawe ili Kila anayemwamin awe na Uzima wa milele .

Upendo wake ni kwaajili ya Uzima wewe ,na hajakulazimisha Umpende .

Yeye kua Pendo, haimanishi Sasa ataendelea kuona machafu.

Kama alivyoichoma Sodoma, akagharikisha Enzi za Nuhu, na akahidi Kwa Ujio wake , atachoma Kila hayawan na watenda maovu yote.
 
Ndiyo mkuu

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
Kwann aliichoma Sodoma na Gomora?.
 
Kwann aliichoma Sodoma na Gomora?.
Mungu hachomi kwa sababu hawapendi au kwa sababu wamekosea.

Anachoma kwa sababu inatakiwa kuwa hivo, ndiyo maana kuna njaa zinatokea walipo wema na wanakufa.

Ukiona baya limetokea popote si kwamba watu hao ni waovu bali huo ni wakati wa hilo baya kutendeka
 
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.

Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.

Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa LGBTQ waliishi huko wakimchukia Mungu Sasa wamefikwa.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Ni Moto ambao Taifa la Marekan Licha ya Ubabe wake, Teknolojia yake isoshikika , Uchumi mkubwa , Jeshi kubwa wameshindwa kuuzima , na wanashindwa Kwa sababu ni Moto ambao sio KAZI ya mwanadamu ni MUNGU.

View attachment 3197895
.
View attachment 3197897
.
View attachment 3197898
Hizi dini zinafanya watu wenye akili kuwa matahila. Kwahiyo Los Angeles au marekani ndio watu wote wenye zambi wanako ishi? Kama Mungu anahukumu watu kwa ujumla kama hivyo. basi bora nisipoteze hata sekunde moja kumwabudu au kumtii maana hata ni ki mtii kama jirani yangu hata mtii kama mimi akija kuhukumu jirani hata juwa kama mimi nitafauti , atatuangamiza wote.
 
We tulia mungu anajua usivyovijua ,anaona usivyoviona na anajua hadi yaliyopo ndani ya vifua vyetu hapangiwi anajua anachokifanya, wewe sali zako na tenda wema, acha hawa mashetani wale matunda waliyoyapanda wenyewe
 
Kwani wanaofanya mema hawapati majanga, Afrika tunafanya mema ila kila siku tunakufa kwa malaria
Kiufupi hapa tunachofurahia ni hawa waliokuwa wanafurahia kuchoma nyumba za wenzao leo ajabu na wao wanalia za kwao kuungua atleast waonje uchungu kama wenzao
 
Sasa mkuu kama wewe ni mwema unafurahiaje ndugu yako akiumia hata kama ni muovu?

Hapo ukichanganua vizuri utangundua muovu ni wewe
 
Mtu ambaye anatoa hela kila siku ili watu wauliwe na kaweka hadi hashtag kill them all ,siyo wa kuonewa huruma, apate uchungu ili akumbuke mungu na afeel mateso wanayopitia wenzao kila siku
 
Sasa inasaidia nini kama nyumba zao zimeungua na watu wanaendea kuuwawa.Emu tumia ubongo basi kufikiria
 
Naona wewe ndio unaosumbuka na kukasirika watu tukifurahia haki ikitendwa na mungu, leo ndugu zenu california wa kugawiwa misaada ya chakula na nguo kweli? Hakika mungu ni wa haki
 
Yani ninacho endelea kukushangaa unafurahiaje majanga kwa ndugu yako?
 
Back
Top Bottom