Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
Malizia mkuuMy quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra
Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.
Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
Uzi ufungweIli mambo yasiwe mengi faya hivi
Furaha ikija furahia
Hasira zikija kasirika
Yanini kujipa stress kwa kuficha hasira wakati furaha hukuificha
DuhMm nikiwa na hasira, hasira zangu zinaniendesha kupiga nyeto
then you are weak manMm nikiwa na hasira, hasira zangu zinaniendesha kupiga nyeto
hujaelewa kasome tena KWA KUTULIA uelewe maana watanzania wengi hamtuliagi kusoma vitu kuelewa mnasoma kujibu au mnakimbilia kujibu. wapi nimesema kuficha?hujaona haponimesema channeling au transmuting hasira au hujui maana yake?kama hujui sio tatizo uliza how hard is that ?!Ili mambo yasiwe mengi faya hivi
Furaha ikija furahia
Hasira zikija kasirika
Yanini kujipa stress kwa kuficha hasira wakati furaha hukuificha
kwanini mkuu,au mpo too many weak men/women...how can you ppl be triggered this easily?Uzi ufungwe
ha ha meehhn wewe ni extremely weak man/woman.Yaani nakucontrol mwili na akili/fikra kwa maneno yangu tu..cmon toughen up!Aisee,yaan kusoma tu habari yako tayari nishafura
nimeuliza swali tu,...mbona waoga sana nyieYaan mtoa mada Tena unatupangia hasira zetu 😹😹😹
sawa sawa mkuu ombi limepokelewa ila ngoja kidogo tuwape muda kidogo hawa weak men/women wamalize ku throw tantrum..si unaona wanavyolialia kwenye commentsMalizia mkuu
usishangae boss,hii ndio mojawapo ya sababu jamii imejaa weak,poor unfocused men,huyu sio tu hajui kuchannel hasira zake hajui pia hata faida ya mbegu zake,angejua kuna connection between his mind na mbegu zake tungekuwa tunaongelea kitu kingine chanya hapa...
Well saidMy quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra
Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.
Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
HeheheAisee,yaan kusoma tu habari yako tayari nishafura
Zuia hasira zako mtoa madahujaelewa kasome tena KWA KUTULIA uelewe maana watanzania wengi hamtuliagi kusoma vitu kuelewa mnasoma kujibu au mnakimbilia kujibu. wapi nimesema kuficha?hujaona haponimesema channeling au transmuting hasira au hujui maana yake?kama hujui sio tatizo uliza how hard is that ?!
heheheYaan mtoa mada Tena unatupangia hasira zetu 😹😹😹
thank you!Well said