Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Sasa Mwakinyo naye hivyo viatu alivyo vitumia leo si ndivyo alikuwa anatumia mazoezini.

Ila sio mbaya kapata experience kupigana ktk ulingo mkubwa, ila huyu mzungu wa kawaida hana maajabu.
Alivaa moka?

Isije ikawa walimuwekea mbigili kwenye viatu na kadri anavyozidi kukanyaga chini ndio ile miba inapanda juu na kumletea damage ambayo imetuacha watu njia panda tulivyomuona akiseleleka
 
Kwa hisani ya Google translate.

Sijui nini kilitokea. Sikufanya mapema sana kwa sababu Hassan alikuwa mkali, nimechoka kidogo sikuwahi kuwapa mashabiki umaliziaji ipasavyo lakini imetoka mikononi mwangu. "Alisema aliteleza, aliacha tu, haihitaji fikra kulifanyia kazi hilo. Nilisema kuhusu kisa cha sparring, nilijua alikuwa nacho.
 
Alivaa moka?

Isije ikawa walimuwekea mbigili kwenye viatu na kadri anavyozidi kukanyaga chini ndio ile miba inapanda juu na kumletea damage ambayo imetuacha watu njia panda tulivyomuona akiseleleka
Nahisi vile viatu vina telez,ndio maana mguu ukashtuka. Ila mzungu wa kawaida tena kama zile round za mwamzo kwangu Mwakinyo ndiye alikuwa vizuri.
 
Alivaa moka?

Isije ikawa walimuwekea mbigili kwenye viatu na kadri anavyozidi kukanyaga chini ndio ile miba inapanda juu na kumletea damage ambayo imetuacha watu njia panda tulivyomuona akiseleleka

Mbigili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…