Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Alivaa moka?Sasa Mwakinyo naye hivyo viatu alivyo vitumia leo si ndivyo alikuwa anatumia mazoezini.
Ila sio mbaya kapata experience kupigana ktk ulingo mkubwa, ila huyu mzungu wa kawaida hana maajabu.
Isije ikawa walimuwekea mbigili kwenye viatu na kadri anavyozidi kukanyaga chini ndio ile miba inapanda juu na kumletea damage ambayo imetuacha watu njia panda tulivyomuona akiseleleka