Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

 
Ukiangalia ile game kama sio mguu wake kua na shida basi mwakinyo anangemkalisha yule while hili halina ubishi ,n kweli mzungu yuko poa ana speed na harudi nyuma ila mwakinyo alisha anza kummudu yule jamaa
 
Kwanza naomba kufahamu, kumbe hadi Uingereza mtu anapoteza begi airport?

Je, ilikuwa haiwezekani Mwakinyo awaambie mapema wenyeji wake kwamba hatacheza mpaka apate begi lake mana kuna vitu muhimu?

Kwa jinsi Wazungu wanavyojali wateja wao ambao wameishakata kiingilio, nina uhakika begi la Mwakinyo lingetafutwa na kupelekewa hata kwa ndege ya kukodi
 
Mwakinyo ni kaongo sana
 
Hii kesi kama kawachafya atajuta ngoja uone sio analeta mambo ya kukata viuno udigoni
 
That's true

Mwakinyo angepoa tu ajipange kwa pambano jingine km angehitaji rematch angetulia tu kimya kimya huku akifanya maboresho kwenye mapungufu yaliyopelekea kupoteza ili pambano lijalo asipoteze tena
Pungufu lake kuu ni kupoteza begi airport. Je, amejipangaje na kulinda mizigo yake airport?
 
Huyo mwakinyo ndio nani? Wabongo tunamjua mandonga mtukazi
 
Kama Mandonga hirizi yake hakuisahau nyumbani wakati wa kuondoka kwenda UK basi ni lazima Mzungu alambe sakafu asubuhi tu.

dah wewe jamaa uliweka angalizo juu ya hirizi kama haijasahaulika.
Inaonekana begi lililopotea ndio lilikuwa na hirizi ndio maana kijana wetu alikosa raha mapema kabisa kabla hata ya pambano lenyewe.

Mwakinyo akiwa anaingia kwenye ring alionekana kisaikolojia hayuko sawa, nafikiri alijua kuna kitu hakiko sawa.
 
Kaa kimya hujui boxing. Hujaona uhuni uliofanyika pale?
Uhuni gani kapigwa anajidondosha hovyo karibia mara 4.
Refa gani atapoteza muda,mtu anaweza kufa kasarenda pambano linasimamishwa .
 
Pole MWAKINYO hao ndo Wazungu wana mbinu nyingi za ushindi, kitendo cha kupoteza vifaa vyako ulikuwa ushaingia mkenge na yawezekana si kwa bahati mbaya. Na kweli round za mwanzo ulikuwa umemuimili mpinzani wako na ulionekana kweli unahangaika na kiatu round ya pili. Tunazidi kukuombea mwanaume usikate tamaa MWAKINYO💪👏👏👏
 
ile bukta yenye jina champez aliitoa wapi mkuu?
 
Nimetazama pambano kiukweli tu mzungu anapigana very professional na ana experience kubwa, mwakinyo alianza kupoteana round ya pili hasira zilimtamalaki akaanza kurusha ngumi za hovyo... japo tangu anaingia ulingoni hali yake ya kisailojia na nguvu ya kiroho ilikuwa down sana, mwakinyo kwenye hili ajifunze tu aache maneno mengi, wazungu wana IQ kubwa sana hasa kwenye michezo michafu kama hii.. achaane na hilo pambano maana mzungu kashamsoma vizuri sana kwenye ''play how' 'akirudi tena anadundwa tena vibaya sana. Boxing ni mchezo flani unaotumia nguvu na akili nyingi sana, usipokuwa na Hasira unashinda kila mechi, ukiwa na hasira unachakazwa vibaya sanaaaaa...
 
Swali: Alishuka tu airport na kwenda kwenye pambano? kama alikuwa na 2-3days hapo Liverpool alishindwa mwenyewe kutafuta aina ya gears anazotumia kama viatu nk.
Naamini kila mwanamichezo anayetumia michezo kama ajira yake anajua aina ya gears anazotumia.

Aina ya viatu anavyotumia yeye Mwakinyo inamaa alishindwa kuvipata kwenye maduka hapo Liverpool na kupata muda wa practice navyo?

Hiyo excuse yake hapana, angeishia kusema amepata shida ya ankle kwenye moja ya mguu wake, kuanza kusingizia watu umehujumiwa huku huna ushahidi sio jambo zuri kimichezo na inaweza kuharibu future yake.
 
Huyu ndo anasema hapigani lokal pumbavu zake anapigwa huko kama mtoto wa chekechea
Hujaangalia pambano.....round tatu alizocheza sidhan Kama Kuna round aliyopigwa ,round ya nne ndo akawa anapiga goti Lisa enka Ila level aliyofikia siyo ya kupigana na twaha kiduku mzee tusidanganyane
 
Unataka kusema kuwa katika round tatu za mwanzo Kuna round mwakinyo hajashinda???


Off course Smith alikuwa anabuy time ili mwakinyo achoke then ampige kirahisi Ila mwakinyo alicheza vizur Sana hizo round tatu za mwanzo
 
Sababu za kitoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…